Hata kwa Martial mlisema hvyohvyo....lakini umeona mchango wake Man U.....Hahahah usije kulalamika hajaitendea haki hiyo hela.
Nimesema tu
Niltaman sana kumuona matuid pale aseeIla to be honest simpendagi kiiivyoooo yaani nikimuangalia sijui kwanini namfananisha na Balotelli...[emoji34]
Mimi sio bora zaid yake mkuu na ndo maana mwisho nimemalizaKwa maelezo haya....wewe ni bora kuliko kocha wa Man U?
Mawazo tu ila kuhusu Martial, sijawahi kuzungumza.Hata kwa Martial mlisema hvyohvyo....lakini umeona mchango wake Man U.....
Martial 11View attachment 368875
#6 = Pogba ?
Umefanya nicheke kwa saut shat lile lile bei ya kko na mliman city tofautDuhh sijui nikujibuje ila ndo hivyo si unajua tena shati lile lile kko ni 10,000 ukienda mliman city ni 70,000......sema si mkali kihivyo ila ana unique zake.
Ndo ivoMartial 11
Safiiiii,hapa hela tu......Most shirts sold in 2015-16:
Manchester United - 2,850,000.
Barcelona - 2,290,000.
Real Madrid - 1,980,000.
Chelsea - 1,650,000.
Bayern Munich - 1,500,000.
2,6,13,26,29Ndo ivo
13 itoe.2,6,13,26,29
Zinasubiri wenyewe...6 nahisi yule visikio2,6,13,26,29
Inawezekana akavaa Pogba kama atakujaZinasubiri wenyewe...6 nahisi yule visikio
Naomba uniambie ID yako ya zamani,umeongea kama mnazi mmoja wa humu wa long timeee[emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] ......usijali ninong' oneze Mimi tu kule kwa kwa waziri mkuu (PM),pliz my friend [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mimi sio bora zaid yake mkuu na ndo maana mwisho nimemaliza
Ni mtazamo wangu tuu
Kwanini?13 itoe.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nakuja nikunongoneze ucjali ila usimwambie mtuNaomba uniambie ID yako ya zamani,umeongea kama mnazi mmoja wa humu wa long timeee[emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] ......usijali ninong' oneze Mimi tu kule kwa kwa waziri mkuu (PM),pliz my friend [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usimfananishe Balotelli na vitu vya kijinga [emoji41] [emoji41] [emoji12]Ila to be honest simpendagi kiiivyoooo yaani nikimuangalia sijui kwanini namfananisha na Balotelli...[emoji34]
Leo hii balotelli anaonekana lulu wakati mlimkataa. Acha kumfananisha Pogba na mambo ya kijinga [emoji12] [emoji12]Usimfananishe Balotelli na vitu vya kijinga [emoji41] [emoji41] [emoji12]