Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
Daaaaah timu yetu haichez vizur kabisa
Yule mzee tu. Mimi nawait ligi ya EPLUzee kuanzia 34 yule bado kabisa ....
Nimeona post hapo juu daah siyo mbaya hii ni pre season ila mnaweza fanya comeback kama yetu![]()
![]()
Mmefungwa 4, dalili ya kurudi top 4 hiyo..Pre season ya kujifunza.
Hatukati tamaa.
Sawa kabisa bado tuna tune mziki haujaanzaPre season ya kujifunza.
Hatukati tamaa.
Jamani ni pre-season lakini kama dalili ya mvua ni mawingu basi wingu la 4 Tropospheric linaweza kuashiria nafasi ya 4 badala ya 1...
Mmefungwa 4, dalili ya kurudi top 4 hiyo..
Mmefungwa 4, dalili ya kurudi top 4 hiyo..
Samahani haya mashindano uwa yanakombe mwisho wa siku?van gaal na moyes walikung'uta madrid na barcelona na cha kuvutia zaid van gaal ktk game kumi za kupasha misuli alipoteza moja 2liporud ktk ligi kila siku presha mou huwaga hafany vizur ktk haya mashindano.
Haujawahi ona wingu kubwa lakini baadae mvua hainyeshi......hii ndiyo nafasi ya kujifunza zaidi.......kuangalia wapi pa kupafanyia kazi zaidi......Jamani ni pre-season lakini kama dalili ya mvua ni mawingu basi wingu la 4 Tropospheric linaweza kuashiria nafasi ya 4 badala ya 1...
Halafu katoto tu .... wenye haya majina hawakosei kabisaDembele yule mtoto anajua sana yule