Kam unaona SAF anajitetea, basi sawa.Mtandao kwangu una sumbua lakin hapa nnacho kutab chake
Na nlisoma habar aliyo ongea wakat Moyo yuko soceadad
Nabalijitetea vitu, tofaut kidogo, et just alimwambia pep wata wasiliana, cjui ampigie, pep hakufanya hvo, it was not a real deal, na Kuhusu Mou hata kwenye kitab chake ana sema wakiangalia longevity (kukaa kwa mda mrefu) ambayo mou hana.
They didnt offer any deals to other coaches , they just considered them, moyes hata kama haukuwa chaguo la kwanza, wao alikuwa mtu wa kwanza walio m offer a real deal.
Nsha fuatilia sana kujitetea kwa Sir Alex mkuu, cjui kama article yako italeta jipya sema nkipata mtandao mzur ntasoma na kama liko jipya ntajibu
Nasema alijitetea kwan alikuja kuyasema baadaye sana akat Moyo asha feli na kaua timKam unaona SAF anajitetea, basi sawa.
NB: huwezi kum-offer deal kocha ama mchezaji kabla ya kum-consider na kuangalia uhalisia wa kumpata.
Sina uhakika ila kunasehemu niliona akishindwa kuingia top 4 ( so far imeshindikana) na bodi ikaamua kumfukuza itamlipa £5 mill pesa ambayo ni ndogo sana kwa utd kuliko kukosa UCL
Hizo 5m ni pay off, lakini wakivunja mkataba ambao umebakiza miaka miwili basi wataendelea kumlipa kama 8m hivi kwa mwaka kwa muda wa mkataba uliobakia.
Kwa hiyo braza unataka Manchester United waige maamuzi ya kitimu kama Everton ama?Everton wameshachukua maamuzi magumu
#LVGOUT
Kwani sisi Barca[emoji19] [emoji19]na mpigwe tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niangalie nizimieee akuuuu!!! Nilikuwa bize napata kitu roho inapenda .Yap yap ila hiki kipindi cha mpito hiki?vp dada yangu jana pia ulikuwa uvunguni au ulikomaa unaangalia game?jana nimeiona mpaka mwisho kiukweli tuna safari ndefu na huyu mzee angeondoka tu mpira wa sasa unahitaji makocha vijana zile falsafa za kina Vicente dela bosque kamacho na harry mara marcelo lippi zimepitwa na waqt tunaumizana jamani.
Mimi naomba haka kawe kafaida kwetu tuondoke na kakombe ketu ka FA,wakati wao wanabomoa sisi tulijenge....#missingFACupEverton wameshachukua maamuzi magumu
#LVGOUT
Everton wameshachukua maamuzi magumu
#LVGOUT
Kwani sisi Barca[emoji19] [emoji19]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jirani imebidi niishie kucheka tu,aiseee Emirates nimepamiss sana matatizo yamezidi mpka kwa jirani sipajui, tuombeane tu dua tutafika kama si Leo hata kesho......Duh toka moyoni nimewa-miss sana ndugu zangu mmetingwa hata kunitembelea imekua shida recently,nipo nanyi kwenye kufunga na kuomba ili Swansea atende miujiza nimepatwa na roho ya huruma kwa ukatili wa West Ham natamani UCL twende wote ili tusichekane dhwahama ikianza peeke angu kule nitakonda wale wengine(Lei,Spurs,City) sina ushikaji nao kabisaaaa musipoenda itakua shida.
Naomba nitajieni ni makaburi gani tunaenda kulala kwa ajili ya tambiko kuanzia kesho ili nijiandae niungane nanyi nasikia kuna tambiko.
Ndg yenu McDonaldjr Arsene Wenger
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jirani imebidi niishie kucheka tu,aiseee Emirates nimepamiss sana matatizo yamezidi mpka kwa jirani sipajui, tuombeane tu dua tutafika kama si Leo hata kesho......
Itakuwa poa tukikabeba na sisi tunyanyue makwapa baada ya miaka 3Mimi naomba haka kawe kafaida kwetu tuondoke na kakombe ketu ka FA,wakati wao wanabomoa sisi tulijenge....#missingFACup
Mimi nilikomaa nayo maana mambo ya kuchungulia siyawezi ila tutarudi katika nafasi yetu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niangalie nizimieee akuuuu!!! Nilikuwa bize napata kitu roho inapenda .
Hata ukiangalia ile Everton ya moyes wachezaji walikuwa ni wakawaida sana ila walikuwa wakicheza uzuri ndio sababu SAF akaona huyu anaweza kutufaa kwa bajeti ya united ila ndo hivyo tena.Nasema alijitetea kwan alikuja kuyasema baadaye sana akat Moyo asha feli na kaua tim
Sisi sote ni ma shabiki wa tim moja Manchester United, sote tuna uheshim mchango wa Sir Alex, ambaye ndio katufanya wengi wetu tuipende man utd.
Lakini SAF alikuwa ni binadam alifanya mazuri alifanya makosa pia , na kosa kubwa ni kutuachia Moyes (ambaye hakutimiza hata mwaka mmoja na Man Utd), lakini kila zuri alilo fanya ni letu na baya ni letu sote kama team
#GGMU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatzo jukwaa lenu mmelisaliti mno hataa halinogi, no updates utadhani mmekua rent boys bhana,Duh toka moyoni nimewa-miss sana ndugu zangu mmetingwa hata kunitembelea imekua shida recently,nipo nanyi kwenye kufunga na kuomba ili Swansea atende miujiza nimepatwa na roho ya huruma kwa ukatili wa West Ham natamani UCL twende wote ili tusichekane dhwahama ikianza peeke angu kule nitakonda wale wengine(Lei,Spurs,City) sina ushikaji nao kabisaaaa musipoenda itakua shida.
Naomba nitajieni ni makaburi gani tunaenda kulala kwa ajili ya tambiko kuanzia kesho ili nijiandae niungane nanyi nasikia kuna tambiko.
Ndg yenu McDonaldjr Arsene Wenger
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tatzo jukwaa lenu mmelisaliti mno hataa halinogi, no updates utadhani mmekua rent boys bhana,
Huko UCL nendeni tu, tutaonana van gaal akiondoka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] una roho ngumu sana shekh, bado una imani na wenger [emoji23] [emoji23] itabidi mwenyewe nianze kushinda kwenu maana hata Mimi kuna ndugu tunatofautiana kuhusu ujio wa mourinho, nao wanaimani kama yako kwamba van gaal atatutoa shimoni.Mimi nipo sana kule kila siku ya game lazima niwe active kwa updates,ila siku za kawaida napotea pale home kuna ugomvi pia ndugu zangu hawamtaki AW wakati mimi bado nina imani nae ili nisije pishana na ndugu zangu inabidi nishinde kwa jirani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] una roho ngumu sana shekh, bado una imani na wenger [emoji23] [emoji23] itabidi mwenyewe nianze kushinda kwenu maana hata Mimi kuna ndugu tunatofautiana kuhusu ujio wa mourinho, nao wanaimani kama yako kwamba van gaal atatutoa shimoni.