Manchester United (Red Devils) | Special Thread

unatumia nguvu kubwa kwa historia jadili man utd tokea aliposepa saf hakuna mchezaji anaetaman man utd kwa sasa hilo ulikubali kutetea vitu vingine haimaniish ndo kuijua timu.

management ya hovyo.
Kaka si ujibu maswali yangu? Nimekuuliza, wakati SAF wachezaji gani wakali walisajiliwa? Na useme pia baada ya SAF ni wachezaji gani wakali wameikatalia United? Hapa kuikatalia namaanisha baada ya United kuwa-approach. Usilete stori za Mwanaspoti hapa...
 
Yani nimeamkia comments nikakutana na Martiaaaaaaaa.....2. Chozi likanidondoka kwa furaha lakini nilivoendelea mbele mhhhh.....
Man U mnatutesa aiseee dah!!!!!
Pole mkuu. Jana mzuka wote uliisha. Bora babu arudi tu
 
Kaka si ujibu maswali yangu? Nimekuuliza, wakati SAF wachezaji gani wakali walisajiliwa? Na useme pia baada ya SAF ni wachezaji gani wakali wameikatalia United? Hapa kuikatalia namaanisha baada ya United kuwa-approach. Usilete stori za Mwanaspoti hapa...

una asili ya ubishi na ujuaji mwingi eti usilete story za mwanaspot renato sanchez kasajiliwa na nani? tony kruz kaenda wap? modric kaenda wap? hummer kaenda wap? alcantara kaenda wap? sesc kaenda wap

wachezaji wakali saf alisajili veron, van persie,owen hegraves, gabriel henze,fabien batez.....
 
na sitopenda kuendelea kubishana na wewe piga chini ukweli wa mambo upo wazi.
 
Sijaona suala la ubishi hapo wewe umeulizwa swali zuri,jepesi ulitakiwa kujibu lau kama umeshindwa sema si kukimbia swal kwa style ya kitoto.

Ikiwe wewe umeanza ushabiki 2000s siwezi kukulaumu hata kidogo lakini kama ni mkongwe targets mara nyingi zinapuruchuka dakika za mwisho.Unamkumbuka Tavez tulikuwa nae Babu akapewa bei ya kumsajili permanent akasita sita Man city wakamckua kilaini na kututambia kwa bango lililotukera wapenzi wa Man mwaka mzima.
Tuliwahi kumvizia Viera tukashindwa wakati huo kiwango chake kilikuwa kinatisha sasa huyu dogo Sanchez asikutishe hata kidogo taarifa za ndani zinadai Van Gaal alisita kumchukua so dogo alikuwa akitegemea zaidi ujio wa Mourihno.
 
point yangu nikuwa kwa sasa timu inakataliwa na baadhi ya wachezaji wakali kwani ni uongo? mimi sikutaka historia ya saf kipind cha saf kila mchezaji alikuwa anapenda kufanya nae kazi

walionza kushangilia mpira 2000' s hawaujui mpira?
 
unatumia nguvu kubwa kwa historia jadili man utd tokea aliposepa saf hakuna mchezaji anaetaman man utd kwa sasa hilo ulikubali kutetea vitu vingine haimaniish ndo kuijua timu.

management ya hovyo.
Tatizo kubwa la Manchester United kwa sasa sio wachezaji ni kocha na mfumo anaoutumia na ameshindwa ku-motivate wachezaji waliopo (Darmian,Rojo,Martial,Blind,Schneidelein,Falcao,Di Maria,Shaw,Depay) hawa wote ni wachezaji wazuri na wakati wanasajiliwa wote walikuwa wanachezea timu zao za taifa.Hata wachezaji wa academy kwa sasa kuna wachezaji wazuri CBJ,Fonsu Mensah,Valera,Rashford ukiacha Spurs sidhani kama kwa sasa kuna timu ina wachezaji wengi kutoka kwenye academy kama Manchester United
 
una asili ya ubishi na ujuaji mwingi eti usilete story za mwanaspot renato sanchez kasajiliwa na nani? tony kruz kaenda wap? modric kaenda wap? hummer kaenda wap? alcantara kaenda wap? sesc kaenda wap

Ndiyo maana nimekwambia unaleta stori za Mwanaspoti. Unaweza kuleta sources zinazoonyesha kwamba United ilikuwa ina mazungumzo na hao wachezaji? Sources zinazoonyesha kwamba United officially iliwa-approach hao wachezaji?

Unatumia tetesi za usajili kuongea mambo yasiyo na msingi. Kama ukiweza kuonyesha kwamba kulikuwa na official engagements kati ya Manchester United na hao wachezaji, basi nitakuomba radhi.

Sielewi unaelewa vipi maana ya neno ujuaji? Kwa hiyo wewe unachokifanya siyo ujuaji ama? Unatumia vigezo vipi kusema nafanya ujuaji na wewe hufanyi ujuaji?

wachezaji wakali saf alisajili veron, van persie,owen hegraves, gabriel henze,fabien batez.....
Sasa mbona wakali kama Di Maria, Mata, Falcao n.k. walisajiliwa baada ya SAF? Na bila kusahau jinsi LvG alivyofanya juhudi za kumbakiza DDG.
Licha ya hao, United hawana sana falsafa ya kusajili established players. Inatokea nadra sana, kama unavyotaka kusema hapa. Ndiyo maana nakuuliza kama kweli unaifahamu timu unayoshabikia.
 
mimi sikutaka historia ya saf kipind cha saf kila mchezaji alikuwa anapenda kufanya nae kazi
Si kweli kwamba kila mchezaji alikuwa akipenda kufanya kazi na SAF braza. Nimekupa mifano ya wachezaji waliomkatalia: Dinho, Kluivert, Ramsey, Shearer, Gaza, Di Canio n.k.
 
Ndiyo maana nimekwambia unaleta stori za Mwanaspoti. Unaweza kuleta sources zinazoonyesha kwamba United ilikuwa ina mazungumzo na hao wachezaji? Sources zinazoonyesha kwamba United officially iliwa-approach hao wachezaji?

Unatumia tetesi za usajili kuongea mambo yasiyo na msingi. Kama ukiweza kuonyesha kwamba kulikuwa na official engagements kati ya Manchester United na hao wachezaji, basi nitakuomba radhi.

Sielewi unaelewa vipi maana ya neno ujuaji? Kwa hiyo wewe unachokifanya siyo ujuaji ama? Unatumia vigezo vipi kusema nafanya ujuaji na wewe hufanyi ujuaji?

Sasa mbona wakali kama Di Maria, Mata, Falcao n.k. walisajiliwa baada ya SAF? Na bila kusahau jinsi LvG alivyofanya juhudi za kumbakiza DDG.
Licha ya hao, United hawana sana falsafa ya kusajili established players. Inatokea nadra sana, kama unavyotaka kusema hapa. Ndiyo maana nakuuliza kama kweli unaifahamu timu unayoshabikia.

nshakuacha unaijua vizur utd hongera.
 
point yangu nikuwa kwa sasa timu inakataliwa na baadhi ya wachezaji wakali kwani ni uongo? mimi sikutaka historia ya saf kipind cha saf kila mchezaji alikuwa anapenda kufanya nae kazi

walionza kushangilia mpira 2000' s hawaujui mpira?
Hao wachezaji wakali hawajaanza kuikataa United leo na hiki ni kitu cha kawaida kwa timu za ulaya.Kama Di Maria,Herrera,Darmian ,Rojo,Depay wamechemsha kwa kocha aliyepo unafikiri Kroos,Thiago,Sanchez wangefanikiwa?
 
suala ni kocha tu wa hovyo.
 
Hao wachezaji wakali hawajaanza kuikataa United leo na hiki ni kitu cha kawaida kwa timu za ulaya.Kama Di Maria,Herrera,Darmian ,Rojo,Depay wamechemsha kwa kocha aliyepo unafikiri Kroos,Thiago,Sanchez wangefanikiwa?
Chifu, kuna mashabiki wengine wa ajabu kweli. Wao wanafahamu kulalamika na kulaumu tu, bila evidences zozote.
 
Sawa mzee wa fiksi...ni kweli naifahamu vizuri United..huwezi kuleta stori za vijiweni hapa, halafu ikabaki hivyo....
#ChillOutBroh

nimekuacha kistarabu ila unakoelekea siko
 
nshakuacha unaijua vizur utd hongera.

Tatizo lako wewe unapenda ligi badala ya mjadala.Ukijua maana ya mjadala kwa maana ya kuelewa mambo utajifunza mambo mengi sana si sports hata uchumi,biashara,siasa.........Lipo tatizo hasa vijana wengi wanafikiri habari za Edo Kumwembe ndio habari za kinaa za michezo katika anga la kimataifa,au ukisoma Champion,Mwanaspoti basi umemaliza kila kitu hakika hakuna magazet ya hovyo kama hayo habari zao nyingi wanazichomoa majarida ya ulaya "Gossip" .Ukiwa na access ya internet sidhani kama ni busara kusoma magazeti ya aina hiyo.

Ukisoma habari ya Edo baada ya Man United kufungwa unaweza kuiweka kapu moja na maneno aliyokuwa akisema Mchg Mtikila katika uwanja wa siasa.Vimaneno au misemo ya uswazi isikutishe wala usione aibu kutamka mimi mnazi wa Man kisa misemo ya mitaani tena mara nyingi haina maana sana.
 
Umeongea ki sports mkuu
 
Back
Top Bottom