Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tatizo lako wewe unapenda ligi badala ya mjadala.Ukijua maana ya mjadala kwa maana ya kuelewa mambo utajifunza mambo mengi sana si sports hata uchumi,biashara,siasa.........Lipo tatizo hasa vijana wengi wanafikiri habari za Edo Kumwembe ndio habari za kinaa za michezo katika anga la kimataifa,au ukisoma Champion,Mwanaspoti basi umemaliza kila kitu hakika hakuna magazet ya hovyo kama hayo habari zao nyingi wanazichomoa majarida ya ulaya "Gossip" .Ukiwa na access ya internet sidhani kama ni busara kusoma magazeti ya aina hiyo.

Ukisoma habari ya Edo baada ya Man United kufungwa unaweza kuiweka kapu moja na maneno aliyokuwa akisema Mchg Mtikila katika uwanja wa siasa.Vimaneno au misemo ya uswazi isikutishe wala usione aibu kutamka mimi mnazi wa Man kisa misemo ya mitaani tena mara nyingi haina maana sana.
Chifu, umemaliza kila kitu...umeitendea haki avatar yako, kwa kuzungumza kwa busara kubwa.
Vijana wanakuwa wavivu na kutegemea kupewa habari za 'kiuchambuzi' na akina Edo, Saleh Ally, Shafii n.k. wakati wana access na internet, inayoweza kuwapa habari zote za uhakika na ukweli. Mtu nimemwambia alete vyanzo vinavyoonyesha kwamba wachezaji hao anaosema wameikataa United walikuwa kwenye mazungumzo rasmi na timu, kakimbia.
Tusichoke kuwapa elimu na busara hawa vijana.
 
Tujiunge pamoja tuwafukuze Wenger na LVG. Itakuwaje timu kongwe kama yenu ikose mshiko wa UCL kwa mara 2 ndani ya miaka 4? Sisi tunazidi kusindikiza Premier League na UCL. Afadhali mna matumaini ya kuondoka na FA cup baada ya zaidi miaka 10 na ushee lol.
#LVGOUT, #WENGEROUT
 
Kabla ya kuijua geogle nilkuwa namwamini sana Dr liki abdala na nikiona ni moja ya wachambuz makini sana kumbe bingwa wa kukopi na kupest
 
Tatizo lako wewe unapenda ligi badala ya mjadala.Ukijua maana ya mjadala kwa maana ya kuelewa mambo utajifunza mambo mengi sana si sports hata uchumi,biashara,siasa.........Lipo tatizo hasa vijana wengi wanafikiri habari za Edo Kumwembe ndio habari za kinaa za michezo katika anga la kimataifa,au ukisoma Champion,Mwanaspoti basi umemaliza kila kitu hakika hakuna magazet ya hovyo kama hayo habari zao nyingi wanazichomoa majarida ya ulaya "Gossip" .Ukiwa na access ya internet sidhani kama ni busara kusoma magazeti ya aina hiyo.

Ukisoma habari ya Edo baada ya Man United kufungwa unaweza kuiweka kapu moja na maneno aliyokuwa akisema Mchg Mtikila katika uwanja wa siasa.Vimaneno au misemo ya uswazi isikutishe wala usione aibu kutamka mimi mnazi wa Man kisa misemo ya mitaani tena mara nyingi haina maana sana.

sijui hiyo ligi nimeanzisha wapi? unaweza ukanionyesha wap nlipoweka hiyo ligi? nilitupia coment yangu nkasema kwa sasa man utd inakataliwa kwa kuwa kocha haelewek sasa ligi iko wap? kwani ni uongo hawakatai? ndo mana nkasema mm naacha mala ooo utoto mala oooo 2000's yote hayo yanatoka kwenu hivi mtu akisema siendelei maana yake nn? mala edo mala mwanaspot jaman dharau mbaya nyie mnajua bana.
 
Unajua kuna watu wanashangaza sana hawajui 1989/1990 Sir Alex alikuwa katika hatihati ya kufukuzwa hasa baada ya uamuzi wake wa kuwuza wachezaji nyota wa wakati huo Norman Whiteside,Paul McGrath & Gordon Strachan na timu kufanya vibaya sana.
Kipindi kile time iliruhusu alo kuwa kwenye ubora hasa gasa alikuwa liva peke ake, there were no many giants kama sasa, wakat hauruhusu kulea mtu kama LVG now
 
Tujiunge pamoja tuwafukuze Wenger na LVG. Itakuwaje timu kongwe kama yenu ikose mshiko wa UCL kwa mara 2 ndani ya miaka 4? Sisi tunazidi kusindikiza Premier League na UCL. Afadhali mna matumaini ya kuondoka na FA cup baada ya zaidi miaka 10 na ushee lol.
#LVGOUT, #WENGEROUT
Mkuu inshu sio lvg inshu ni kuwa SAF aliiacha tm ikiwa kwenye hali gani?
Hata angekuja kocha wa dunia ya kwanza asingeweza kutengeneza tm na ikawa na maelewano mazur kwa haraka kama unavyofikiri
Kwa mf
Kwa sasa nusu ya wachezaji wa man u fest 11 ni wageni na wametoka ligi tofaut zikiwa na mifumo tofaut
Je unafkri itakuwa rahs ivo kuelewana na kuuelewa mfumo wa kocha?
 
sijui hiyo ligi nimeanzisha wapi? unaweza ukanionyesha wap nlipoweka hiyo ligi? nilitupia coment yangu nkasema kwa sasa man utd inakataliwa kwa kuwa kocha haelewek sasa ligi iko wap? kwani ni uongo hawakatai? ndo mana nkasema mm naacha mala ooo utoto mala oooo 2000's yote hayo yanatoka kwenu hivi mtu akisema siendelei maana yake nn? mala edo mala mwanaspot jaman dharau mbaya nyie mnajua bana.

Sawa ndio maana nikakwambia wapo wachezi wakali wa kiwngo cha walio wahi kuikataa Man kipindi cha Sir Alex si leo au jana wachezaji wako influenced na mambo mengi mfano wachezaji wa South America,Ureno au Spain wanapenda sana kucheza Spain either Real au Barcelona hilo lipo wazi.Wakati Ronaldo anatoka Man kwenda Real tulikuwa katika ubora mkubwa sana tulichukua ECL tulishafika final mara mbili na nk nk.So utaona Suarez akiwa Liverpool aliposikia offer za Spain akili yote ilikwenda Barcelona ikabidi auzwe tu hapakuwa na njia nyingine ya kumzuia.

Mifano hiyo kiduchu niliyokupatia inaonyesha wazi kuna vitu vingi na si sababu za kina Edo au magazeti ya udaku ya michezo Tanzania ambayo mengi ni copy & paste full stop.
 
Unajua kuna watu wanashangaza sana hawajui 1989/1990 Sir Alex alikuwa katika hatihati ya kufukuzwa hasa baada ya uamuzi wake wa kuwuza wachezaji nyota wa wakati huo Norman Whiteside,Paul McGrath & Gordon Strachan na timu kufanya vibaya sana.
Hawajui hawa vijana 2000+ mkuu
 
Sawa ndio maana nikakwambia wapo wachezi wakali wa kiwngo cha walio wahi kuikataa Man kipindi cha Sir Alex si leo au jana wachezaji wako influenced na mambo mengi mfano wachezaji wa South America,Ureno au Spain wanapenda sana kucheza Spain either Real au Barcelona hilo lipo wazi.Wakati Ronaldo anatoka Man kwenda Real tulikuwa katika ubora mkubwa sana tulichukua ECL tulishafika final mara mbili na nk nk.So utaona Suarez akiwa Liverpool aliposikia offer za Spain akili yote ilikwenda Barcelona ikabidi auzwe tu hapakuwa na njia nyingine ya kumzuia.

Mifano hiyo kiduchu niliyokupatia inaonyesha wazi kuna vitu vingi na si sababu za kina Edo au magazeti ya udaku ya michezo Tanzania ambayo mengi ni copy & paste full stop.

mm binafsi sijawah kusikiliza uchambuz wa edo siwez kumdharau,,, pili mwanaspot sisomi niliacha toka walipoanza kulitoa mfululizo nlikuwa nasoma kipind linatoka j mos tu pia kusoma magazet sio kigezo cha kuujua mpira ukiingia ktk website za man utd utapata habar zote ni nani wanamfukuzia
 
Wanazi wa Man United lazima tukubali team haijengwi katika msimu mmoja.Historia ipo wazi kujenga team ni process ndefu kidogo.Tukianza kulia lia kama watoto wadogo waliokosa maziwa na mashabiki wa Liverpool wafanyeje ?.

Team iliyoachwa na Sir Alex ilishafikia mwisho wake Rio,Vidic,Evra......Managers waliokuchukua mikoba walitakiwa kuunda team upya.Kuunda team upya maana yake kuna suala la muda lazima tuwape muda Managers na tuwasupport wakati wote.
 
Tatizo kubwa lilo kwenye timu yetu inaendeshwa kizamani, wakurugenzo wenyewe ndo kina Sir Boby Charlton (namuheshim sana) they cant go with time

Tatizo halikuwa timu aliyo acha fergie tatizo lilikuwa namna ya kufanya transition, Sir Alex kimchagua mrithi Moyes ndo ilipo kuwa kituko, kwanini hakutafutwa kocha mzuri, Jifunzen kwa Bayern wao ana toka pep ana ingia Ancellot na hyo ndo na mna ya kufanya transition

mna sema LVG ana jenga tim mkataba wake una isha mwakan na haend mbele tim inakuwa mbov daily ana mjengea hyo timu nan!!!
 
Wakat anakabidhiwa pep Tim ilikuwa kweny hali gani?unaweza fananisha na wakati anakabidhiwa Moyes tm?na je anapokabidhi pepe tm iko hali gani?
 
SAF alishaelezea juu ya uchaguzi wa Moyes. DM hakuwa chaguo la kwanza. Moyes alikuwa chaguo la sita. Ilikuwa baada ya potential successors wote kuwa impossible kuwavuta kwenda OT. Kwanza SAF alimtaka Pep, lakini Pep alikataa na kwenda Bayern. Mourinho naye alikuwa keshakubali kurudi Rent Boys, huku Ancelotti akimrithi R. Madrid. Klopp alionyesha dhahiri alikuwa hana nia ya kuondoka; na LvG alikuwa kesaini na timu ya taifa ya Uholanzi.
Chanzo: Man Utd wanted Pep Guardiola and not David Moyes to succeed Alex Ferguson- but the Spaniard snubbed them

NB: jambo jingine la kulitazama hapa ni kwamba hizo timu zote hazikuwa na makocha waliokaa na timu kwa miaka 20+. Hivyo transitions haziwezi kufanana na timu ambayo ilikuwa na kocha mmoja kwa miaka 26. Pengine labda unipe mfano wa timu ambayo imewahi kuwa na kocha mmoja kwa miaka 20+, kisha akaondoka na timu ikaendelea vizuri instantly bila ku-struggle.
 
Ttzo siyo hali, kwani Moyes alikabidhiawa watu walokuwa mabingwa wa EPL kwa tofaut ya points 11

Hyo ilitosha tuu kum atract kocha yyte mkubwa na ku atract wachezaj wazuri, kwasabb pesa tulikuwa nayo, mashabik wapo na jina kubwa

Hatuwez daily ku jutetea kwa historia za miaka ya 1980 ni sawa na kusema watt wako waende shule bila viatu eti kwa sabab wewe pia enz zako hukuwa navyo wakat wenda shule
 
SAF alishaelezea juu ya uchaguzi wa Moyes. DM hakuwa chaguo la kwanza. Moyes alikuwa chaguo la sita. Ilikuwa baada ya potential successors wote kuwa impossible kuwavuta kwenda OT. Kwanza SAF alimtaka Pep, lakini Pep alikataa na kwenda Bayern. Mourinho naye alikuwa keshakubali kurudi Rent Boys, huku Ancelotti akimrithi R. Madrid. Klopp alionyesha dhahiri alikuwa hana nia ya kuondoka; na LvG alikuwa kesaini na timu ya taifa ya Uholanzi.
Chanzo: Man Utd wanted Pep Guardiola and not David Moyes to succeed Alex Ferguson- but the Spaniard snubbed them

NB: jambo jingine la kulitazama hapa ni kwamba hizo timu zote hazikuwa na makocha waliokaa na timu kwa miaka 20+. Hivyo transitions haziwezi kufanana na timu ambayo ilikuwa na kocha mmoja kwa miaka 26. Pengine labda unipe mfano wa timu ambayo imewahi kuwa na kocha mmoja kwa miaka 20+, kisha akaondoka na timu ikaendelea vizuri instantly bila ku-struggle.
Pep alisha kuwa kasain na bayern by the time sir Alex ana staafu angemrithije, mi cjui

Wakati Sir Alex anaondoka Mourinho alikuwa bado haja sign na Chelsea

Na ukumbuke Sir Alex alimpenda bwana daudi Moyo (David Moyes) toka kitambo ,aliwah kumuomba ad awe kocha msaidiz, it was clearly his decision to appoint Mr Moyo, na ali m ignore Mourinho

Sioni kama kukaa mda mrefu ilikuwa reason, reason ilikuwa management kumuachia babu a mchague successor wake single handedly, Wenger mwenyewe aliwahi sema that was a big mistake na yeye hata chagua mrithi wake mwenyewe.

#lvgout
 
Pep alisha kuwa kasain na bayern by the time sir Alex ana staafu angemrithije, mi cjui

Wakati Sir Alex anaondoka Mourinho alikuwa bado haja sign na Chelsea

Na ukumbuke Sir Alex alimpenda bwana daudi Moyo (David Moyes) toka kitambo ,aliwah kumuomba ad awe kocha msaidiz, it was clearly his decision to appoint Mr Moyo, na ali m ignore Mourinho

#lvgout
Doh! Braza umesoma hiyo link niliyoiweka? Maana unabishana na maneno ya SAF mwenyewe! Soma basi hiyo link, halafu urudi tena kuandika ulichokiandika.
 
Mtandao kwangu una sumbua lakin hapa nnacho kutab chake

Na nlisoma habar aliyo ongea wakat Moyo yuko soceadad

Nabalijitetea vitu, tofaut kidogo, et just alimwambia pep wata wasiliana, cjui ampigie, pep hakufanya hvo, it was not a real deal, na Kuhusu Mou hata kwenye kitab chake ana sema wakiangalia longevity (kukaa kwa mda mrefu) ambayo mou hana.

They didnt offer any deals to other coaches , they just considered them, moyes hata kama haukuwa chaguo la kwanza, wao alikuwa mtu wa kwanza walio m offer a real deal.

Nsha fuatilia sana kujitetea kwa Sir Alex mkuu, cjui kama article yako italeta jipya sema nkipata mtandao mzur ntasoma na kama liko jipya ntajibu
 
Back
Top Bottom