Ombudsman
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 3,565
- 3,735
jaribu kufatilia historia yake ya biashara kati ya Man U na Tote,kumnunua Carrick,Barbatov kwa Modric na Bale aligoma kutuuzia kabisaInakuaje ngumu kufanya biashara na Levy mkuu?
jaribu kufatilia historia yake ya biashara kati ya Man U na Tote,kumnunua Carrick,Barbatov kwa Modric na Bale aligoma kutuuzia kabisaInakuaje ngumu kufanya biashara na Levy mkuu?
ahaha sawaHahaha
Nlikuwa napenda hlo jina tuu, by the way Tuko As Roma now
Chifu, biashara ya mchezaji na kocha/meneja ni tofauti sana...jaribu kufatilia historia yake ya biashara kati ya Man U na Tote,kumnunua Carrick,Barbatov kwa Modric na Bale aligoma kutuuzia kabisa
jaribu kufatilia historia yake ya biashara kati ya Man U na Tote,kumnunua Carrick,Barbatov kwa Modric na Bale aligoma kutuuzia kabisa
Sawa. Lakini mimi bado naamini mambo yatamalizika vizuri..Man City kuna Aguero na KDB wako on fire na ni game ya mwisho ya Pelegrin.Game ya leo ilikiwa lazima kushinda
twende uefa kufanya nini kutia aibu n van gaal tusifuzu timu ya ushindani kabisaSwansea wapo onfire...doh! Aisee ndiyo umekosa imani na timu hivyo? Bournemouth watafungwa vizuri tu OT...na Swansea will do us a favour..
#Believe
Mkuu kuna sababu nyingi sana za poch Kubaki spurs kuliko kuja utdPochettino akikubali, Levy hana ujanja...kocha siyo kama mchezaji...na Pochettino hawezi kukataa ofa ya United...
na mpigwe tuDuhhh!!! Maisha bado yanaendelea....... #GGMU
Hahaha
Nlikuwa napenda hlo jina tuu, by the way Tuko As Roma now
ushahama Arse8Roho mbaya tuna mpigwe tu
Yap yap ila hiki kipindi cha mpito hiki?vp dada yangu jana pia ulikuwa uvunguni au ulikomaa unaangalia game?jana nimeiona mpaka mwisho kiukweli tuna safari ndefu na huyu mzee angeondoka tu mpira wa sasa unahitaji makocha vijana zile falsafa za kina Vicente dela bosque kamacho na harry mara marcelo lippi zimepitwa na waqt tunaumizana jamani.Duhhh!!! Maisha bado yanaendelea....... #GGMU
Roho mbaya tu
ni kweli Barca tuna roho mbaya kwani sikuzote sie ni wabakajiAnaugulia maumivu ya makombe matatu huyo msamehe bure.Roho mbaya tu
Kama ni hvo basi sawa![]()
![]()
![]()
Nasri
Fabregas
Song
RvP
Nao wali hama, si mimi tuu
