Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumbe ndo sababu ya kuhairishwa?

Hapana mkuu hii siyo sababu kuu, ngoja tufukunyue taarifa zaidi.

BACK TANGANYIKA

Hawa hapa ni Bbc

Tisho la bomu laripotiwa Old Trafford

Mechi ya mwisho katika ligi ya soka ya uingereza, EPL, kati ya Manchester united na Bournemouth imeahairishwa kufuatia wasiwasi wa bomu, uwanjani Old Trafford.

Kifurushi kinachoshukiwa kuwa na vilipuzi kilipatikana kimetegwa katika sehemu ya North West Quadrant.

Wachezaji wakiongozwa na kocha Louis Van Gaal walirudi kwenye chumba cha mabadiliko.

Tayari kikosi cha timu hiyo kilikuwa kinajiandaa kuingia uwanjani baada ya kutajwa. Maelfu ya mashabiki waliokuwa wanasubiri mchuano huo walilazimika kutoka nje.

Wataalam wa kutegua mabomu wameingia uwanjani kwa uchunguzi zaidi. Mchuano huo ulitarajiwa kuamua hatma ya Manchester United huku ikisaka nafasi ya kushiriki kwenye ligi ya vilabu bingwa barani ulaya.

Manchester United inashikilia nafasi ya saba ikiwa na alama 63 baada ya mechi 37. Awali Mashabiki wa klabu walionyesha kughadhabishwa na utendakazi wa kocha Van Gaal, wakitaka aachishwe kazi.

Hii ni baada ya Westham kuzamisha matumaini ya klabu hiyo kwa kuizaba 3-2 wiki
 
UNITED V BOURNEMOUTH MATCH ABANDONED

*Article updated at 17:09 BST

Due to the discovery of a suspect package in the North-West Quadrant of the Old Trafford ground, Manchester United's match against Bournemouth was abandoned on police advice.

People in the stadium were asked to remain in their seats while the forecourt was cleared of fans who had already been evacuated from the stadium.

Bomb disposal teams conducted an assessment of the suspicious device at Old Trafford and a controlled explosion was then carried out by experts within the stadium.

Greater Manchester Police is working with staff at Manchester United as part of the investigation and Assistant Chief Constable John O'Hare commented: “We are doing everything we can to investigate this item as quickly as possible, however our priority is obviously to ensure the safety of everyone in the stadium and surrounding area. As a result, today’s game has been abandoned.

“We don’t make these decisions lightly and we have done this today to ensure the safety of all those attending. I am thankful for everyone’s support and assistance and we will continue to provide updates on this matter as soon as they become available.”

Further announcements will be made as soon as possible.
 
Duuu LVG MUST STAY! Are u serious mkuu! Yule aende tu,bora uvumilivu aliopewa yeye angefanyiwa Moyes!
 
1463339063903.jpg
 
Haya LVG umeendelea kudhihirisha kwamba muda wako umeisha ingawa haina ubishi u are among the best managers in the world na kwa mtazamo wangu kilichokufelisha MUFC ni pressure kubwa iliyokua imeizunguka team tulitoka kwenye majanga ya DM na mbwembwe zilizotumika kumleta LVG OT zilitufanya tuamini kwamba anakuja kupindua majanga into long lasting happiness matokeo yake nae akajipa pressure akanza kuishi kwa kubahatisha akakosa first 11 akaanza kusajili kwa majina na sio kwa mahitaji lakini mi sitaki kukubali kama hiyo ni excuse maana naamini best manager wanaonekana kwenye kipindi cha desperate na pressure kama tulichokua nacho...it's obvious LVG hawezi kutuvusha sasa swali la kujiuliza who's next binafsi ningefurahi kama Mou au D.Semeione au Giggs akisaidiwa na scoles, butt na yule msaidizi wa SAF
 
As usual, Arsenal fans celebrate finishing above Tottenham like they've won the Champions League and Premier League..

For another time Manchester United fans just witnessed their beloved team cementing its place as a biggest mid-table team in the world. This has become a common thing at Old Trafford, fans don't even bother to visit their bookies to place bets for Manchester United anymore.
 
For another time Manchester United fans just witnessed their beloved team cementing its place as a biggest mid-table team in the world. This has become a common thing at Old Trafford, fans don't even bother to visit their bookies to place bets for Manchester United anymore.
Hahahaaaaa there are 20 teams on the table brother, currently we are at 6th place ( is it a mid of 20?) And how about rent boys who sit at 10th place?
 
Hahahaaaaa there are 20 teams on the table brother, currently we are at 6th place ( is it a mid of 20?) And how about rent boys who sit at 10th place?

Mkuu tukubali tukatae,but the truth is "we are in the world of shit"
 
Back
Top Bottom