Rekodi ipi hiyo chifu?Mpaka Van Gaal atimuliwe sijui tutakuwa tumebakiwa na rekodi gani tena. Nyingine leo inavunjwa hapa
Sina uhakika ila kunasehemu niliona akishindwa kuingia top 4 ( so far imeshindikana) na bodi ikaamua kumfukuza itamlipa £5 mill pesa ambayo ni ndogo sana kwa utd kuliko kukosa UCLWanaweza kumtimua lakini unafahamu gharamaambazo wataingia Man Utd wakimtimua?
Hata wakimleta Mourinho nae atataka pesa atumie kufanya usajili na kumbuka mwaka jana walitumia 250M.
Kimahesabu hata msimu huu bado timu ina nafasi ya kumaliza nafasi ya 4. Shitty akifungwa na Swansea na United akampiga Bournemouth, basi United atamaliza nafasi ya 4.Inaonekana huyu mzee huwa anafanya makusudi.Next season akijitahidi ataishia no 4
Umeuona msimamo mkuu? Tunaweza tusibaki hapa endapo game ijayo tukapoteza tukashuka zaidiInaonekana huyu mzee huwa anafanya makusudi.Next season akijitahidi ataishia no 4
Nipo kiongozi wangu, hii timu inazidi kunikondesha tu, huyu mzee kabakiza mwka mmoja tu kwenye mkataba wake, hiyo timu ataisuka lini kaka? Timu imekua ikicheza mpira m booovu mno toka amefika afadhari ya Moyes,
Kanunua wachezaji wengi kashindwa kuwatumia, smalling, de gea, martial ndio wana improve day after day lakini hawa wengine dah hadi aibu aisee.
BTW wacha 1 alipotelea wapi?


aya bebeni ndumba na tunguli zenu tukawasaidie Swansea wampige City ndio ndoto iliyobaki,raha ya msiba jirani aje kukuchotea maji na kukuletea kuni ili tulie wote ndio nimekuja POLENI jamani kila nyumba lazima itoe maiti.Kimahesabu hata msimu huu bado timu ina nafasi ya kumaliza nafasi ya 4. Shitty akifungwa na Swansea na United akampiga Bournemouth, basi United atamaliza nafasi ya 4.
Ndiyo maana nakuelewa sana broh, kuliko hata baadhi ya mashabiki wa #ManUnited wewe ni mpenzi wa kweli wa soka...hiyo ya Pochettino kula lunch na Fergie nilikuwa sijaipata...ni mara milioni Pochettino kuliko mpiga domo Maureen...Huenda Man Utd wakamuiba Mauricio Pochettino wa Tottenham HotSpurs maana leo mchana kala lunch na mzee Alex Ferguson.
Pia kocha msaidizi wa Pochettino aitwae Jesuz Perez nae alikuwepo.
Ikumbukwe Mzee Fergie ni mkurugenzi ndani ya Man Utd.
hiyo n kula lunch na Poch anaweza kukubali ila kufanya biashara na Daniel Levy n mtihaniNdiyo maana nakuelewa sana broh, kuliko hata baadhi ya mashabiki wa #ManUnited wewe ni mpenzi wa kweli wa soka...hiyo ya Pochettino kula lunch na Fergie nilikuwa sijaipata...ni mara milioni Pochettino kuliko mpiga domo Maureen...
Swansea wapo onfire...doh! Aisee ndiyo umekosa imani na timu hivyo? Bournemouth watafungwa vizuri tu OT...na Swansea will do us a favour..Man City anahitaji droo tu na Swansea hawana cha kupoteza na Manchester United haina guarantee kumfunga Bournemouth kwa jinsi wanavyocheza kocha hana plan kabisa
Pochettino akikubali, Levy hana ujanja...kocha siyo kama mchezaji...na Pochettino hawezi kukataa ofa ya United...hiyo n kula lunch na Poch anaweza kukubali ila kufanya biashara na Daniel Levy n mtihani
kumbuka juzi juzi amesaink mkataba wa miaka mi5 unazani kuuvunja n kazi rahisi?Pochettino akikubali, Levy hana ujanja...kocha siyo kama mchezaji...na Pochettino hawezi kukataa ofa ya United...
Tuna takiwa tumlete kocha ambaye ni winnerkumbuka juzi juzi amesaink mkataba wa miaka mi5 unazani kuuvunja n kazi rahisi?
Hii kitu kama ni kweli, ikifanikiwa itakuwa poa sanaWacha1 mitikas mingi yupo atakuja.
Huenda Man Utd wakamuiba Mauricio Pochettino wa Tottenham HotSpurs maana leo mchana kala lunch na mzee Alex Ferguson.
Pia kocha msaidizi wa Pochettino aitwae Jesuz Perez nae alikuwepo.
Ikumbukwe Mzee Fergie ni mkurugenzi ndani ya Man Utd.
mkuu nilijua ww n gunners kutokana na id name yakoTuna takiwa tumlete kocha ambaye ni winner
We desrve super coach kwa kweli
Inakuaje ngumu kufanya biashara na Levy mkuu?hiyo n kula lunch na Poch anaweza kukubali ila kufanya biashara na Daniel Levy n mtihani
Swansea wapo onfire...doh! Aisee ndiyo umekosa imani na timu hivyo? Bournemouth watafungwa vizuri tu OT...na Swansea will do us a favour..
#Believe
Hahahamkuu nilijua ww n gunners kutokana na id name yako