Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haha
Kwa sasa man u inabid tuwe waskilizaj zaid kuliko kuongea

Nasubir wamfukuze kocha tuu apa
Ndio inavyotakiwa
Ndio maana sikai sana huku
.....................................................
Ukweli mchungu
Hatuna timu
Hata FA Cup haiaminiki
Hii ndo Mansheeder Ubwegeted
......................................................
 
Yaah!ndio ushabiki huo kila mtu anapenda chake ila msiwachukulie poa kabisa jamaa wanaweza kuitia supu nazi.
Kuhusu hilo sahau na kama huamini nenda kabet uwe tajiri kuwa Barcelona hawatashinda
 
eeffcd1162d400ba81c683ad7dcff55f.jpg
 
Ndugu zanguni poleni sana!Lkn ndiyo soka mwakani mtajipanga mtakuja vingine!Njooni Anfield kuona Champion League football!
everlenk ndiyo soka dada,nguvu ni kitu cha kwisha
 
Back
Top Bottom