Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndugu zanguni poleni sana!Lkn ndiyo soka mwakani mtajipanga mtakuja vingine!Njooni Anfield kuona Champion League football!
everlenk ndiyo soka dada,nguvu ni kitu cha kwisha

Kweli ukihisi unaumwa nenda hospitali utagundua kuna wanaoumwa zaidi yako. Eti wewe ni Liverpool (8) au (9)Chelsea vilee
 
Wacha1 mitikas mingi yupo atakuja.

Huenda Man Utd wakamuiba Mauricio Pochettino wa Tottenham HotSpurs maana leo mchana kala lunch na mzee Alex Ferguson.

Pia kocha msaidizi wa Pochettino aitwae Jesuz Perez nae alikuwepo.

Ikumbukwe Mzee Fergie ni mkurugenzi ndani ya Man Utd.

huyo kocha wa spurs hana inshu ni bora kumpa timu giggs tu
 
huu msala ni wa sir alex huwez kustaafu ghafla ukaacha timu inawachezaji 8 first eleven above 30 years lazima ushuke tu kocha wa bayern aliyemuachia pep timu nzur hakupata shida na hata maingizo hayalet shida sasa 4 na 5 vidic na ferdinand tayar walishapoteza speed toka enz za saf ukija 6 na 8 hakuna tulikuwa tunashinda kimazoea na timu pinzani kumuogopa saf saiv watu wanajipigia tu kwa relax.
 
kuna baadhi ya Fans wa manure walikuwa wanaombea Mtoke Top 4 ili LVG atimuliwe

Similar hutokea kwa Fans wa Arsenal kuomba mabaya kwa timu yao eti ifungwe kocha labda ataondoka au kutuliwa

Nachojua mimi Timu ilifungwa Unachoambulia ni Stress na Frustrations kwa kwenda mbele na haikusaidii lolote kuombea mabaya club yako

Mmepanic sana humu ndani...

Kui recover ile ERA YA FERGIE sio Kazi ndogo ili mjaribu kulielewa
 
Jana ilikuwa siku mbaya sana katika maisha ya ushabiki wa soka.Kukosa ECL ni majanga kwa maoni yangu Man Utd inahitaji wachezaji wanne bora kabisa (established players)
1. Beki wa kati (Center back) height lazima izingatiwe.
2. Kiungo mshambuliaji (attacking mildfilder)
3. Mshambuliaji wa kati
4. Kiungo wa pembeni (winger) mwenye speed kubwa na uwezo wa kupunguza walinzi.
 
Kwa kocha aliyepo ni ngumu sana hii timu kufanikiwa
 
kuna baadhi ya Fans wa manure walikuwa wanaombea Mtoke Top 4 ili LVG atimuliwe

Similar hutokea kwa Fans wa Arsenal kuomba mabaya kwa timu yao eti ifungwe kocha labda ataondoka au kutuliwa

Nachojua mimi Timu ilifungwa Unachoambulia ni Stress na Frustrations kwa kwenda mbele na haikusaidii lolote kuombea mabaya club yako

Mmepanic sana humu ndani...

Kui recover ile ERA YA FERGIE sio Kazi ndogo ili mjaribu kulielewa
Ni shida ndugu yangu...watu wamepaniki hatari...wakati kimahesabu bado timu ina nafasi ya kumaliza top 4...sawa Shitty anahitaji droo, je asipoipata na United ikishinda?

Na hilo la transition baada ya miaka 26 ya SAF, nalisema humu kila mara, lakini mashabiki pendwa wanalisahau. Kuna mtu humu nilimuuliza anitajie timu ambaye ilikuwa na kocha mmoja kwa miaka 20+ na baada ya kuondoka kocha huyo, timu haiku-struggle. Naona anarukaruka tu, hata hajajibu hilo swali.
 
Naona mme zindua pajama mpya za msimu ujao watani zetu
57984cd0528d5556eec1f540df80eb73.jpg
 
hapa kuna dalili za u liverpool wachezaji wakali hawataki kuchezea man utd
Acha kupaniki braza...wachezaji gani waliokuwa wakali kabla ya kuwa United waliosajiliwa wakati wa SAF? Mbona husemi wachezaji wakali waliokataa kujiunga na United wakati wa SAF!?! Ngoja nikupe mifano: Kluivert akiwa fomu hatari baada ya WC 1998, alikataa kwenda United baada ya Barća kumtaka. Alan Shearer alimkatalia SAF mara mbili. Di Canio, Dinho na hata Gerard wote waliikataa United chini ya SAF. Na kila mara walivyokataa hao wachezaji wakali, SAF alitafuta wachezaji wa kawaida kama mbadala: Yorke, Cantona, Cristiano, Ole Gunnar n.k., and the rest is history.

Hivi kweli nyiye ni mashabiki wa United? Mnaifahamu fika timu mnayoishabikia?
 
unatumia nguvu kubwa kwa historia jadili man utd tokea aliposepa saf hakuna mchezaji anaetaman man utd kwa sasa hilo ulikubali kutetea vitu vingine haimaniish ndo kuijua timu.

management ya hovyo.
 
Back
Top Bottom