Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man Utd nao wana matatizo kwenye set pieces.

Watu kama Payet, Antonio, Noble hatari sana kwa mipira ya adhabu.

Labda mzee LVG ataachiwa timu aisuke upya.
 
Mpaka Van Gaal atimuliwe sijui tutakuwa tumebakiwa na rekodi gani tena. Nyingine leo inavunjwa hapa
 
Hahahaaaaaaa ndio man u yetu hii chief

Mkuu upo?

Man Utd inaundwa upya ni timu nzuri tu watu wanaongea lakini huyu mzee LVG anawasukia timu bomba sana.

Chris Smalling ame-improve sana na ukiangalia stats Man Utd haijafungwa goli nyingi sana msimu huu.

Ila hawatampa pesa nyingi safari hii lakini watanunua baadhi ya wachezaji.
 
Aaah, akibaki cdhan kama twenda popote
 
Wanaweza kumtimua lakini unafahamu gharamaambazo wataingia Man Utd wakimtimua?

Hata wakimleta Mourinho nae atataka pesa atumie kufanya usajili na kumbuka mwaka jana walitumia 250M.
Hamna jinsi wamlete tuu uyu van gaal ad atuache mbona tutakuwa kama watford
Na ukumbuke mwakan kaka

1.pep ana kuja

2.Klopp ana jipanga

3.Konte kaja

4. Arsenal

5. Tottenham, leceister na southampton wako fresh
 
Mkuu upo?

Man Utd inaundwa upya ni timu nzuri tu watu wanaongea lakini huyu mzee LVG anawasukia timu bomba sana.

Chris Smalling ame-improve sana na ukiangalia stats Man Utd haijafungwa goli nyingi sana msimu huu.

Ila hawatampa pesa nyingi safari hii lakini watanunua baadhi ya wachezaji.
Nipo kiongozi wangu, hii timu inazidi kunikondesha tu, huyu mzee kabakiza mwka mmoja tu kwenye mkataba wake, hiyo timu ataisuka lini kaka? Timu imekua ikicheza mpira m booovu mno toka amefika afadhari ya Moyes,

Kanunua wachezaji wengi kashindwa kuwatumia, smalling, de gea, martial ndio wana improve day after day lakini hawa wengine dah hadi aibu aisee.

BTW wacha 1 alipotelea wapi?
 
Back
Top Bottom