Mi alinifurahisha Nani mtu kaumia halafu kapata nguvu ya kuendelea kucomplain kwa refa halafu akajiangusha tena mweh
Kaka NANI alivyochezewa rafu alikuwa hajaona jinsi alivyoumia lakini baada ya kushusha soksi na kuona jinsi alivyochimbika na damu zinavyotoka ilibidi adondoke na kuanza kulia ukweli ile rafu ilikuwa mbaya sana na baada ya game Caragher alienda ku-apologize kwa wachezaji wa ManchesterMi alinifurahisha Nani mtu kaumia halafu kapata nguvu ya kuendelea kucomplain kwa refa halafu akajiangusha tena mweh
Kweli!!! :A S 13:Yaani bingwa mtarajiwa naye ni mdebwedo kama yule anayeondoka!
Mods tafadhali naomba mbadilishe hiyo picha (haivutii kabisa) juu kwenye mwanzo wa thread na muweke hii (chini). Ahsante.
![]()
After this....(ur signature)..:wink2:
Mi alinifurahisha Nani mtu kaumia halafu kapata nguvu ya kuendelea kucomplain kwa refa halafu akajiangusha tena mweh
Ab Tchaz
Bila shaka umesikia ombi letu.
Tunatanguliza shukrani.
Haondoki mtu hapa,wao kule kwetu wanakaaa hata baada ya matanga....sasa wiki hii nzima,naotesha mizizi hapa......mi raha tuu.....wapi Manda na Belinda????
Bado sija recover kutokana na kipigo kile.
Dah huyu wa mwisho ndio wa muhimu zaidi kamandaTo be fair, United were missing some key players, like Ferdinand, Vidic, Clattenberg, and Howard Webb..., lol. Huyu wa mwisho mnakumbuka alitokea kwenye FB ya Babel akiwa na jezi ya Manure. Tehe tehe tehe.............