Mbona unatufukuza kwenye msiba mkuu ? lol
Miturubai na majamvi naona mmeamua kubaki nayo wikii hii pia simchezo lool.
![]()
three and easy: Dirk kuyt celebrates after completing his hat-trick
![]()
double trouble for united: Kuyt puts liverpool 2-0 up
![]()
perfect start: Dirk kuyt scores his first goal at anfield
![]()
flashpoint: Nani and gerrard clashed at anfield
![]()
so you're back here, are you: Sir alex ferguson greets kenny dalglish before the game
Michelle kalale
Liverpool 3 Manchester United 1
Scorer: Kuyt (33, 39, 64)
Scorer: Hernandez (90)
Attendance: 44,753
FT (15:26)
So where the Man. United fans today.....?????????????
Hongera kwa Daglish kwa kurudisha confidence ya wachezaji wa Liverpool nimegundua huyu jamaa ni master wa big matches,Leo Liverpool walistahili ushindi tunawaomba wafanye hivi pia kwa Arsenal.Majeruhi wameendelea kutu-cost game kama ya leo angekuwa Park Ji Sung tungecheza 4-5-1,sijui Carick amempa nini SAF bora angeanza Fletcher kuliko yeye maana mzigo wote pale kati aliachiwa Babu Scholes Carick hakuna analofanya kabisa

Mkubwa tangu amekuja Daglish Liverpool imebadilika sana Kuyt amerudishwa kucheza foward,Johnson sio fullback tena.Sasa hivi Liverpool sio ile ya kumtegemea Gerrard hata aliyekuwa mchovu LUCAS amebadilika sana cha ajabu hii perfomance wanaionesha wakicheza na timu kubwa tuLiverpool wetu wale mkuu, huwa wanapata tabu sana ku-match speed yetu.
Mkubwa tangu amekuja Daglish Liverpool imebadilika sana Kuyt amerudishwa kucheza foward,Johnson sio fullback tena.Sasa hivi Liverpool sio ile ya kumtegemea Gerrard hata aliyekuwa mchovu LUCAS amebadilika sana cha ajabu hii perfomance wanaionesha wakicheza na timu kubwa tu
Katika timu ambazo hazinipi presha ni Arsenal,so far mlitakiwa muwe mnaongoza ligi kwa point moja na game moja mkononi
Mwaka huu tusipochukua kombe sidhani kama kuna excuses zozote naweza kutoa bali mabadiliko yatahitajika. Hawa wote hatuwahitaji next season, denilson,diaby, ben, rosicky,vela na squallaci. Mda wao umefika sasa wapishe kundi lingine lije kufanya kazi wenye uchungu wa kupata nafasi ya ku-shine.