xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
RvP, chicharito wameondolewa na van gaal, kwann tusimlaumu?Mkiachana na lawama za lvg,nafikiri man utd mnakosa wale top strikers upfront ,wale strikers ambao wanaweza kulazimisha kitu na kikawa,martial & rashford bado ni vijana wadogo sana wanaita muda kujifunza kwa wakubwa zao,mnakosa kiongozi vilevile uwanjani.