Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Asante sanaNitoe tu pongezi the boy got something
Asante sanaNitoe tu pongezi the boy got something
Tutamshukuru May hii kwa kumuaga!Tutampa mechi ya heshima aende zake Norwichmkuu usisahau na mazuri yote aliyowafanyia. Jamaa hana match fitness ila ni mzuri sana bado
Mkuu nadhani watu wameona tofauti kati ya big fella na Morgan pale katikatiDah Leo imetokea Bahati tu lifelaini halijaingia maana ni shida
HahaahaaaaHivi unajisikiaje pale umeandaa vikatuni na vimaneno vya kejeri, mwisho wa siku unakua huna pa kuvipeleka?
Hahahaaaaa kashengo, mcdonaldy tumeshaua huko kaokoteni mzoga.