Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pale kati msisahau kumpanga Big Fella tafwazalini sana waungwana ni burudani kumuona yule mbuni akisakata kabumbu.
Mtakachofanya leo shauri yenu kama mtapasuana au kuuana kazi kwenu ila leo niko kwa mkopo timu ya wanainchi (Man City) namtakia heri mdogo wangu Yahya popote alipo na mimi nipo kwa leo hii.
 
moja kati ya wachezaj majipu man u carrick n mmoja wao.... njoo Special 1 utuondolee haya majipu...
 
ili tuweze kuondoka na ushind ktk hii game yetu leo, inabid sebastian awai kuingizw ili abalans game.
 
1458492233762.jpg
 
dogo rashford(18) leo ameandika historia ya kijana mdogo kufunga goli katika izi derby za united na city
 
dogo rashford(18) leo ameandika historia ya kijana mdogo kufunga goli katika izi derby za united na city
Naanza kuona nyota njema ikingaa kwa rashifod
Ni dogo umri Mdogo pia huwa anakaa kwenye nafas
Kama ataendelea hiv hakika atakuwa mfungaji mzur kwa baadae
 
Back
Top Bottom