Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Teeehe teeeeehe nimepita tu kusalimiaHahahaha sasa mbona hajasaidia kitu
Teeehe teeeeehe nimepita tu kusalimiaHahahaha sasa mbona hajasaidia kitu
Tunashukuru kwa salamu zako hahahahaTeeehe teeeeehe nimepita tu kusalimia
Hahahahaha mtani yaani unaweza usiamini lakini sijui Hata hii mechi tulicheza yaani sipo dunia ya muchezo kabisaaaa aiseeee kumbe mlitufunga hongereni sanaaaaTEKNOLOJIA @ThName Vema mkaja ku-edit posts zenu teeeeehe teeeeehe
@cuteb ukiamka utakuta khanga zako za msibani zikiwa tayari
everlenk leso ya kujifutia machozi ipo wala usijali Mtani
Poleni sana wadau kazi za Depay na Carrick hazina makosa
Statistically Man U and Liverpool are in the dead heat!Tunatengenishwa na points 3 tu na sisi tuna game mkononiYaani ukiwasikiliza washabiki wa liverpool,arsenal,chelsea utafikiri man utd iko bottom three wakati tuko juu ya liverpool na chelsea na arsenal sijui katuzidi points nne hivi. Lakini nilichogundua ni kuwa walizoea united inawaacha points 10+
Anahesabika kama mtu mwenye gundu mana hakuwasaidia wagonga nyundoMy name is......
![]()
Habari zenu ndugu zangu
Hahahahaha mtani yaani unaweza usiamini lakini sijui Hata hii mechi tulicheza yaani sipo dunia ya muchezo kabisaaaa aiseeee kumbe mlitufunga hongereni sanaaaa
Yaani mtani sijui lolote kabisaaaaaaa na bora si kujua maana ningejiskia vibaya sana kuona Mteja wangu akikataa huduma yangu next time nitakupa kinachostahili ......lol
Tusubiri gundu jingine toka kwakeAnahesabika kama mtu mwenye gundu mana hakuwasaidia wagonga nyundo
Haiwez tokeaTusubiri gundu jingine toka kwake
Toka lini bingwa mara nyingi akapendwa?wanajua shughuli yetu ndo maana yanawatoka maneno.Wanajifariji kwa kuondoa stress za timu zao..
Hahahh big fella lvg bna ngoja tusubiri ila kwa spidi ya wachezaji wa liver fella inabidi apumzike tuhow LVG actually sees Fellaini
![]()