Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu zilizocheza uwanja wa nyumbani leo zimepata wakati mgumu. Leo mmechomoa lakini West Ham wameshaweka mitego mipya. Yule kocha wa WH alimfata LVG na kumwambia, "leo kwa uzee wako na kulinda heshima yako,tulikuonea huruma uko mbele ya familia yako, nyumbani kwako lakini aga kabisa ukija London."
Matial bado anahitaji muda zaidi lakini ana kipaji.
Fainali ni kati ya WH na Everton kama hazitapangwa pamoja nusu fainali.
Mkuu WHU hii timu ni kiboko ya wakubwa, imewatandika wale wazee wa makumbusho kama Mara nne, assnail, man city, na wazee wa darajani wote wamechezea, tuna tatzo kubwa sana kumalizia, fellain mi huwa simuelewi, game ijayo carrick na fellain ningependa sana wapumzishwe, Morgan na Bastian wachukue dimba game itakua ngumu sana but I hope we can make it,

Yule payet yule muacheni tu, ana deserve mshahara anaopata,
 
Umeshakubali kuwa WHU ni kiboko ya wakubwa na hilo ndilo linalotegemewa kwenye mechi ya marudio.
Kwa sababu mpira una matokeo ya aina mbili tu kwa hatua iliyobaki, endelea kufanya maombi. Nakusudia kumwomba bandugu Ntuzu na Mentor washirikiane nawe kwenye maombi.
 
Hahahaaaaa Nonda unapocheza na westham hutakiwi kuwa na uhakika 100% jamaa wabishi sana, ila niwazuri sana wakiwa away kuliko home kama umefuatilia sana mechi zao,
 
Wewe jipe matuamini lakini sioni vipi utakiepuka kikombe. Unajua "Yesu" aliomba pia lakini kikombe alikinywa kwa mujibu wa wanadini/wanaimani.
Wacha nikutakie kila la heri kwa maandalizi ya marudio. Marudio ni tarehe 20 au?
 
Brilliant game...see you at Upton Park

Lool..how the mighty have fallen

Westham fans ndiyo wanaolalamikia draw sahiv tena OT..

bet yangu ipo kwa West Ham kushinda hii FA cup msimu huu.
 
Acha ushabiki wa kimaandazi chifu...West Ham wameshawahi kushinda kwenye stage kama hii OT kwa Di Canio kufunga goli la ushindi (kama nakumbuka vizuri kuhusu goli la ushindi). Hapo ni chini ya United. Sasa hiyo ya mighty has fallen kisa matokeo ya droo, ni ushabiki maandazi.
 
Hahahaaaaa Nonda unapocheza na westham hutakiwi kuwa na uhakika 100% jamaa wabishi sana, ila niwazuri sana wakiwa away kuliko home kama umefuatilia sana mechi zao,
And that's the thing...watakuwa na pressure zaidi kwa sababu yupo nyumbani...United MUST capitalise on that..
 
Acha ushabiki wa kimaandazi chifu...West Ham wameshawahi kushinda kwenye stage kama hii OT kwa Di Canio kufunga goli la ushindi (kama nakumbuka vizuri kuhusu goli la ushindi). Hapo ni chini ya United. Sasa hiyo ya mighty has fallen kisa matokeo ya droo, ni ushabiki maandazi.

so unategemea man utd hii ya sasa kumtoa WestHam kwake?? kwa sasa WestHam are better team kiform than Utd, huna tools za kumfunga West Ham kwake kwenye game ya marudiano..hiyo ndiyo fact.
 
My name is......

af9f2d6da61607081fe4ed3fd05db25e.jpg

Habari zenu ndugu zangu
 
Back
Top Bottom