Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii timu ya Leo aisee tunakalishwa na Liverpool huyu fellaini sijui kwanini ameanza# GGMU
 
how LVG actually sees Fellaini
Cdxf6uhXIAEKuL6.jpg
 
Duuuh wamerudisha!! Hapa tunachomoka kweli hapa!!!
Sijaona msaada wa smaling, carick, blind na namba saba (ambaye kiuhalisia ndiye msaidizi wa varela) walipoona beki namba mbili kazidiwa!!! Lilikua ni jukum lao kuangalia namna ya kumzuia cotinho baada ya kumtoka verela!!!

Varela inabidi apumzishwe kipindi cha pili!!!
 
Hv huyu LVG ni kocha au mzimu... hv huwa anaandika nn na inamsaidiaje.. inabd waandishi wa habari wafanye utafiti wa anachokiandika...
 
Ndugu zangu hapa kwema?Ndiyo soka haina haja ya kununiana kati yetu!

Soka lina vipindi vyake vya kutawala na ni mambo ya kawaida tu!

Nani sasa Europa anapenda kuonana na Majogoo?
 
RRONDO na Herrera mko wap na kelele zenu

Hii game lazima mtoke

ushauri wangu wa bure ni kuwa manure mtaanza kukaa sawa baada internation break

EUROPA OUT
CITY anawaua
LVG in
 
RRONDO na Herrera mko wap na kelele zenu

Hii game lazima mtoke

ushauri wangu wa bure ni kuwa manure mtaanza kukaa sawa baada internation break

EUROPA OUT
CITY anawaua
LVG in
Ntuzu
kalon
Mentor
Hapo walipo najua wamefurahi sana eheheeh

cute b
everlenk
RRONDO wao maskini bado hawaamini kuwa Babu Fergie kawaachia laana!!

Belo na rubaman ndugu zangu poleni kwa yale ya jana
 
Jamani hivi Van Gaal anaandika nini? Naona anamaliza peni sijui ya ngapi hii.
 
Back
Top Bottom