Relax sasa
Timu letu haliaminiki..labda marudiano tunaweza kutoboa...inaudhiRelax sasa
Tuombe mambo yaende vyema tuTimu letu haliaminiki..labda marudiano tunaweza kutoboa...inaudhi
Ndo kilichobakiTuombe mambo yaende vyema tu
Ndo manakeNdo kilichobaki
Kweli...ila pressure itakuwa kwa West Ham zaidi...wako nyumbani na watataka kucheza mchezo wa wazi zaidi ili kutafuta goli...Timu letu haliaminiki..labda marudiano tunaweza kutoboa...inaudhi
Reality....Kweli...ila pressure itakuwa kwa West Ham zaidi...wako nyumbani na watataka kucheza mchezo wa wazi zaidi ili kutafuta goli...
Timu zilizocheza uwanja wa nyumbani leo zimepata wakati mgumu. Leo mmechomoa lakini West Ham wameshaweka mitego mipya. Yule kocha wa WH alimfata LVG na kumwambia, "leo kwa uzee wako na kulinda heshima yako,tulikuonea huruma uko mbele ya familia yako, nyumbani kwako lakini aga kabisa ukija London."I don't care what people say, martial is a world class