Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Liverpool wamecheza vizuri sana. Lakini penati was debatable na goli la pili lilianzia kwenye move ambayo ni offside kabisa. Kifupi refa speed ya game ilimshinda. Hii mechi sio EL ya kawaida,ni zaidi ya hivyo inahitaji refa strong.
Tumeshindwa kupata hata goli mmoja la ugenini kitu ambacho kinafanya mechi ya OT kuwa ngumu
Mechi ijayo inatubidi tuzuie wasifunge goli hata mmoja huku tukiwa tunatafuta goli mbili mpaka tatu...ili kurudisha hope
 
Hali ni mbaya....angekuwa Sir Alex ningekuwa na matumaini lakini huyu Mwanafalsafa wala sitegemei muujiza. Liverpool sio Muyjitland hata jina lao silikumbuki!
 
lvg-kipgo-jpg.328987

nasikia manure mlipiga kona 0 ..........
 
Angalieni Mr bean alivyo na roho ya korosho pamoja na sisi kumsaidia wachezaji kibao...

Mathieu Debuchy has revealed he was denied a Deadline Day move to Manchester United as Arsenal manager Arsene Wenger did not want to "help out a rival".
Kizee kichawi kile.
 
Mlistahili na ndio maana ikawa hivyo
See u at OT
Duh mpira kweli uwendawazimu mnavyojipa moyo kuhusu OT najiuliza ivi mna squad mpya au ile ile?au mna mpango wa kuchezesha wachezaji 15 sioni kitu kipya hapo Old Toilet ambacho mlishindwa kukifanya jana wenzenu Chelshit walikuja na kelele kama zenu kuwasubiri PSG nao wamekalia nawakumbusha hii game ipo jirani tu sio msimu ujao bora mtoe sababu nyingine ila hii ya OT haiwasaidii,komaeni na Wagonga nyundo msifutike kote.
ImageUploadedByJamiiForums1457699627.321966.jpg
 
Ukweli jana Man ilikuwa hovyo mwanzo mwisho.Nadhani tactics za Van Gaal zilikuwa mbovu sana.Kwa maoni yangu lilikuwa kosa kubwa Herreira kuwekwa banch pia sehemu ya kiungo tulizidiwa sana machi ijayo Van Gaal abadilishe mifumo mzima na ikiwezekana sehemu ya kiungo wapewe wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kumili mipira na kupandisha mashambuli ya haraka.
 
Majira ya joto ni bora Degea akaondoka tu, ni huruma sana kuona goalkeeper wa kiwango kile anacheza kwnye timu ambayo ni mediocre km ile, goalkeeper wa kiwango kile hatakiwi kukosa michuano mikubwa km UEFA, ondoka tu Degea nenda Madrid or liverpool ya Klopp uje utimize ndoto zako, Old Trafford ya Ferguson ndo ilkua Theatre of dream hii ya sasa ni Theatre of curse
 
Tumeshindwa kupata hata goli mmoja la ugenini kitu ambacho kinafanya mechi ya OT kuwa ngumu
Mechi ijayo inatubidi tuzuie wasifunge goli hata mmoja huku tukiwa tunatafuta goli mbili mpaka tatu...ili kurudisha hope
Hizo goli nani atakae tupatia Mkuu? Let's be honest vile vizee siku hizi vinampira mzuri we angalia hata ile game tulivipiga moja tulibanwa sana, it was just a matter of time, hata mechi tunazoshinda huwa tunashinda basi tu,
 
Duh mpira kweli uwendawazimu mnavyojipa moyo kuhusu OT najiuliza ivi mna squad mpya au ile ile?au mna mpango wa kuchezesha wachezaji 15 sioni kitu kipya hapo Old Toilet ambacho mlishindwa kukifanya jana wenzenu Chelshit walikuja na kelele kama zenu kuwasubiri PSG nao wamekalia nawakumbusha hii game ipo jirani tu sio msimu ujao bora mtoe sababu nyingine ila hii ya OT haiwasaidii,komaeni na Wagonga nyundo msifutike kote.
View attachment 329013
Squard ile ile Walikula tatu, mlikuja na nyie tukawapangia vyanafunzi vya sekondari mlikula tatu, au umeshasahau?
 
Hizo goli nani atakae tupatia Mkuu? Let's be honest vile vizee siku hizi vinampira mzuri we angalia hata ile game tulivipiga moja tulibanwa sana, it was just a matter of time, hata mechi tunazoshinda huwa tunashinda basi tu,
Squard ile ile Walikula tatu, mlikuja na nyie tukawapangia vyanafunzi vya sekondari mlikula tatu, au umeshasahau?
Unajitekenya mwenyewe alafu unacheka mwenyewe soma comments zako hapo juu alafu toa ufafanuzi upya kwiiiii kwiiiii au kama vipi zikane kua moja haujaandika wewe maana haueleweki umesimama kwenye jambo gani.
Niko hapa kwa mpemba nakunywa kahawa nikisubiri jibu lako hakika sikai mbali na jamvi hili mpaka nikusikie usirudi mapangoni tu.
 
Back
Top Bottom