Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Atleast hata kamoja sio mbaya wakuu bora tumepata kakufutia machozi.....
 
Liva MNABAHATI refa kamaliza mpira mapema. Zingerudi zoote.
 
Haya sasa nimekubali tumechapwa flat and square,liverpool ilikua better team than us.Vijana wa emirates asanteni kwa ushirikiano tutaonana J4 tusikimbiane jamani......tafadhali.
 
Piiiiii pii piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii:rain:
 
Aya, Wacha boy, Mbu, Questt, Bb Ataka kusema, Rev. et al, asanteni kwa kampani, mm natafuta chobi nikajifiche, manake kuanzia hm, kitaa hado ofcn najua nawindwa apa..

Soka bana! apa ndop napopliona'ga' chungu.
F8ck off!
 
barn-owl-large.gif
Poleni sana, mnaye huyu kwa week mbili tatu zijazo.

"Mateso kwa zamu!"

Mkuu Bundi bado anastarehe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Poleni wafiwa matanga yapo hapo old trafford khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Jamni hivi goli zote hizo tumepigwa kweli au ndio mambo ya marefa kuichukia man u?...ila mwaka huu ubingwa wetu tuu

Mkuu ndio mkuu tumefungwa lakini pale ilibidi huyu dogo chicharito wamweke toka mwanzo.....maana anaweza mechi kama hizi
 
Piiiiii pii piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii:rain:

Pole pole mama ndio mpira huo.....
 
waungwana we lost fairly and squarely... Simply we didnt show up at the park kama wacha1 anavyosemaga 'bad day at the office'... Well done liverpool mmetumia chances mlizozipata, mara ya mwisho tumepigwa back to back ilikuwa misimu miwili iliyopita.
 
Mkuu Bundi bado anastarehe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Poleni wafiwa matanga yapo hapo old trafford khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ndo tunatangaza ratiba ya msiba,kwamba maturubahi na vifaa vya matanga vitachukuliwa rasmi J4..........kwahiyo tutaomboleza hadi J3.

waungwana we lost fairly and squarely... Simply we didnt show up at the park kama wacha1 anavyosemaga 'bad day at the office'... Well done liverpool mmetumia chances mlizozipata, mara ya mwisho tumepigwa back to back ilikuwa misimu miwili iliyopita.

Well said mkuu yaani hapa sikioni kile kibutton cha uungwana ila chukua zako tano.
 
Haya sasa nimekubali tumechapwa flat and square,liverpool ilikua better team than us.Vijana wa emirates asanteni kwa ushirikiano tutaonana J4 tusikimbiane jamani......tafadhali.

j4 tutakutafuta !!! Arsenal 1 barca 0..!!
 
Ndo tunatangaza ratiba ya msiba,kwamba maturubahi na vifaa vya matanga vitachukuliwa rasmi J4..........kwahiyo tutaomboleza hadi J3.

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee bado tunachubiri mechi lukuki leo na kesho weye mwaya mbona unawahara sana Vijana wa Emirates? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
taratiibu nimepokea kilo mbili hapa........kama kawaida na jamaa ametangaza leo iwe mwisho wa kuwekeana pesa hivi...mara tatu zote mi nashinda.....
 
Kabisa huyu Oshea huwa anacheza vizuri ile namba so sijui kwa nini walimuweka bench

Mkuu ndio mkuu tumefungwa lakini pale ilibidi huyu dogo chicharito wamweke toka mwanzo.....maana anaweza mechi kama hizi

...I wish, I wish nyiiiingi...Papizo bana, kubali tu yaishe!
You though It was all over? It is now!

Aya, Wacha boy, Mbu, Questt, Bb Ataka kusema, Rev. et al, asanteni kwa kampani, mm natafuta chobi nikajifiche, manake kuanzia hm, kitaa hado ofcn najua nawindwa apa..

Soka bana! apa ndop napopliona'ga' chungu.
F8ck off!

...pamoja mkuu, was a nice weekend kwakweli.
Wewe jifanye hukuangalia mpira wala hujui matokeo, jifanye kushangaa shangaa!
Big Up JF sports fans.
 
Aya, Wacha boy, Mbu, Questt, Bb Ataka kusema, Rev. et al, asanteni kwa kampani, mm natafuta chobi nikajifiche, manake kuanzia hm, kitaa hado ofcn najua nawindwa apa..

Soka bana! apa ndop napopliona'ga' chungu.
F8ck off!

Unavyoadmit Mauchungu uliyonayo mpk nakuonea Huruma......Pole sana ndg yangu ndo soka hili.......
 
Back
Top Bottom