Mmmh naona vijana wa arsenal mikono ipo maeneo...........Come on you REDS
hapa nimeshika kitovu ili man asipate kitu kabisa....maana mchezo ukiisha hivi basi nina kilo mbili ...tumewekana na Chief accountant wetu.....juzi kwa chelsea nilikuwa hivi hivi.........bado moja kama matairi ya bajaji.... Manure mtajibeba leo
....eeee mtumeeeee!!!
Kesho ofcn kutakalika kweli?, sijui.
Vipi pale! hahahahahahaha bado moja kumalizia siku LOL! raha kweli kweli.
What a come back ......Liverpool 3 Man utd 4 hahahahahahahahahaahahahah BAK
we kweli una matumaini, kwa performance hii unategemea tutarudisha ata goli moja..unless labda tunaangalia mechi mbili tofauti. We are devoid of passion, urgency and spirit.Mkubwa vipi tena mbona unashtuka????mpira bado broda.....
Kesho ofcn kutakalika kweli?, sijui.
...Bless you Edson, YOU WILL NEVER WALK ALONE bro, ha ha ha,...e bana weeeee!
Duuh.......Mmmh naona vijana wa arsenal mikono ipo maeneo...........Come on you REDS
Mpira mbn haukwishi tu?