NIPO MSAGA SUMU..... NIMEKUMISILongtime kumbe upo?
NIPO MSAGA SUMU..... NIMEKUMISILongtime kumbe upo?
Hahahaha yamekuwa hayo tena
Mchane live tu hamna namnaSIDEKEZI MTU MIMI NAMCHANA TUUUU
HIVI TUPO NAFASI YA NGAPI VILEEMchane live tu hamna namna
Tupo nafasi ya tanoHIVI TUPO NAFASI YA NGAPI VILEE
Siku hizi hata Arsenal wanacheza mpira mbovu lakini wanashinda,hata SAF aliachana na kina Pogba,BeckhamTumeshinda lkn tumecheza mpira mbovu sana leo,laiti Liverpool wangekuwa makini kidogo ktk umaliziaji tungekuwa tunaongea mengine leo.Bado najiuliza kwanini Van Gaal aliachana na akina Rafael Da Silva,Di Maria na Chicharito?Timu imekuwa dhaifu mno kupita maelezo.
Mumy acha tu i wish tungekuwa wote unione........tumechinjaaaaaaaaaaaaaa.......mumy nakumiss sana umeniacha alone duh!!!hahahahhahaa kwa hiyo majogooo wamefanywajeeee?
Asante sana mtani......ila pole najua inauma leo ulikuwa na kila sababu ya kushinda game hii ila ndo hivyo ndo soka......Nikiacha unafki nimejikuta tu nashangilia goli la Rooney
Hongera zenu mtani
MAMY LILE GOLI LA ROONEY LIMENIFANYA NIJE... SIO KWA GOLI LILE DUUUHMumy acha tu i wish tungekuwa wote unione........tumechinjaaaaaaaaaaaaaa.......mumy nakumiss sana umeniacha alone duh!!!
Mumy ndo timu yetu hii au umesahau tuliapa kwa shida na raha....lolMAMY LILE GOLI LA ROONEY LIMENIFANYA NIJE... SIO KWA GOLI LILE DUUUH
NIMERUDI MAMY WANGU RASMI
Mumy ndo timu yetu hii au umesahau tuliapa kwa shida na raha....lol
Weeeee..... Mrs Debuy basi kama hutaki hata kumtaja jina.....rooney fundi sio kama yule mholanzi......siku hizi sijisikii hata kumtaja jina ha ha ha
Weeeee..... Mrs Debuy basi kama hutaki hata kumtaja jina.....
Mimi leo sijasaga sumu nimewapa pole tu.....MAN U DAMUUUUU..NAKUMBUKA MAMY....HAHAHAAA WALE MAJOGOO NAOGOPA KWENDA KUWAPA POLE TWIN
Huwa nafarijika na kamsemo kako "Tutafika tu........"7 points behind the league leaders....despite our crappy season...we aren't that far from the summit..
Ha ha ha! Tutafika tu kweli....Huwa nafarijika na kamsemo kako "Tutafika tu........"