Point tatu muhimuMagoli yenu ya kindondokela. 1 shot on target mechi nzima afu mnashinda.
Naona siku hizi tawi letu tukufu limehamia kwa LooserfoolAfadhali... tawi letu limetupa point 6 msimu huu
Vp mkuu jana mlibahatisha?Hongereni mmebahatisha!
Sawa sisi tunabahatisha sio sawa na wale wanaopendelewa na magoli yao ya offsideHongereni mmebahatisha!
Pole Dada anguNdugu yangu Mimi very kuumwa,bado sijaichukia Man U kiasi hicho.