Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee katika siku nimesali kwa ajili ya timu yangu ni leo yaani nikasema Hata kamoja tu ka kufutia machozi kwa point tatu,asante Mungu ,yaani nilikuwa nachanganyikiwa kila nikiona on target 0, nimeruka km ndama hapa nilipo na nikapona kabisaa............. Liverpool work done tuonane msimu ujao.......... #GGMU
Unafaa uwekwe kwenye kamati ya ufundi
 
_87758533_.rooney_getty.jpg

Hongereni wakuu kwa ushindi kiduchu point tatu kibindoni. Khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee @evelenk ataanza kujishaua chacha.

To the Gunners now ..... .... . tutawapa somo hawa Potters.
 
Watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee katika siku nimesali kwa ajili ya timu yangu ni leo yaani nikasema Hata kamoja tu ka kufutia machozi kwa point tatu,asante Mungu ,yaani nilikuwa nachanganyikiwa kila nikiona on target 0, nimeruka km ndama hapa nilipo na nikapona kabisaa............. Liverpool work done tuonane msimu ujao.......... #GGMU
hahahahhahaa kwa hiyo majogooo wamefanywajeeee?
 
Watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee katika siku nimesali kwa ajili ya timu yangu ni leo yaani nikasema Hata kamoja tu ka kufutia machozi kwa point tatu,asante Mungu ,yaani nilikuwa nachanganyikiwa kila nikiona on target 0, nimeruka km ndama hapa nilipo na nikapona kabisaa............. Liverpool work done tuonane msimu ujao.......... #GGMU
Nikiacha unafki nimejikuta tu nashangilia goli la Rooney

Hongera zenu mtani
 
Tumeshinda lkn tumecheza mpira mbovu sana leo,laiti Liverpool wangekuwa makini kidogo ktk umaliziaji tungekuwa tunaongea mengine leo.Bado najiuliza kwanini Van Gaal aliachana na akina Rafael Da Silva,Di Maria na Chicharito?Timu imekuwa dhaifu mno kupita maelezo.
 
Back
Top Bottom