Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

gk.jpg
 
Msimu wa mwaka jana, katika mechi ya 22, United walikuwa wanne wakiwa na points 40, GD ya 15 na points 12 nyuma ya Rent Boys.EPL Table: Updated Premier League Standings, Fixtures and Title Odds After Week
Msimu wa mwaka juzi chini ya Moyes na kabla yake chini ya SAF sijui.

Msimu huu siyo mzuri kwa ligi kiujumla. Naona timu nyingi zipo chini ya viwango sana.
Sasa mbona tofauti ni point 3 tu ambazo ni mchezo mmoja? Tena mwaka huo jana licha ya kuwa na point 40 baada ya mechi 22, walikuwa nyuma pt 12 ambayo ni michezo 4, msimu huu ni michezo 2 tu, ila nakuunga mkono timu zote kubwa zime underperform mpaka sasa!
 
Kweli ligi ya msimu huu mbovu........

Louis van Gaal believes Manchester United can win the Premier League after their late victory over Liverpool reignited an unlikely title push.
Wayne Rooney's 78th-minute strike - his first at Anfield since 2005 - sealed a United victory and moved the club seven points behind leaders Arsenal.
Speaking at his post-match press conference, Van Gaal set his sights on finishing the season top of the pile, dismissing the current gap between his side and those at the top.

Louis van Gaal sets sights on title after Manchester United's late Liverpool win
 
Sasa mbona tofauti ni point 3 tu ambazo ni mchezo mmoja? Tena mwaka huo jana licha ya kuwa na point 40 baada ya mechi 22, walikuwa nyuma pt 12 ambayo ni michezo 4, msimu huu ni michezo 2 tu, ila nakuunga mkono timu zote kubwa zime underperform mpaka sasa!
Msimu uliopita tulikuwa na majeruhi karibu timu nzima na msimu huu tulianza vizuri kwenye game 10 za mwanzo tumesajili Darmian,Bastian,Morgan,Depay na Martial msimu huu ulikuwa wa kuchukua ubingwa
 
Kama ni rahisi kiasi hicho basi naomba hawa Illuminati wamfanye afunge kila mechi yaani iwe ni point tatu kila siku mpka tuchukue title, na si moja tu Bali treble EPL Europa,na FA..,............... Mimi naona uzushi tu ni style yake ya ushangiliaji anajua mwenyewe ana maanisha nini.
 
Unachange lini avatar? I miss you.
 
Ndio, yaani nilikuwa naangalia new posts nikaona hako kapicha nikajua ni wewe tuu. Binafsi nimekachoka dota!
Hahahaha Haya nirushie picha nzuri nzuri za Messi ntachagua moja....lol.
 
Back
Top Bottom