everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Kama nyie jana mlivyobahatisha dakika nane juu kuongezwa hadi mkasawazisha ila mlibebwaaa!!!!....lolHongereni mmebahatisha!
Kama nyie jana mlivyobahatisha dakika nane juu kuongezwa hadi mkasawazisha ila mlibebwaaa!!!!....lolHongereni mmebahatisha!
Thank you my kaka yaani nazidi kupona nalirudia tu lile goli la Rooney napona tu....Pole Dada angu
Get well soon
Mteja kwetu ni mfalme. ..... nashukuru our motto unazidi kudumishwa....Afadhali... tawi letu limetupa point 6 msimu huu
Mtoto akinyea mkono...... Kama ulifunga ndoa na Man U basi huna namna nyingine we mpende tu....SIMTAKI TENAAA HUYO DEFASHEINA
nikimnyima siku mbili tatu atanyooka tuuMtoto akinyea mkono...... Kama ulifunga ndoa na Man U basi huna namna nyingine we mpende tu....
Hivi misimu mitatu iliyopita baada ya michezo 22 mlikuwa na point ngapi?? Maana mashindwa kuwaelewa mnaposema huu msimu mko vibaya!7 points behind the league leaders....despite our crappy season...we aren't that far from the summit..
Kweli standard zetu ziko juu....timu yetu tunaiona mbovu ever lakini ishakaa kileleni na sasa iko only 7pts behind,ligi ya mwaka huu vituko7 points behind the league leaders....despite our crappy season...we aren't that far from the summit..
Cha kushangaza zaidi ni pale arse8 kaambulia points mbili tu katika mechi 2 zilizopita but still anaongoza ligiKweli standard zetu ziko juu....timu yetu tunaiona mbovu ever lakini ishakaa kileleni na sasa iko only 7pts behind,ligi ya mwaka huu vituko
mpira magoli SIO SHOTS ON TARGET....Magoli yenu ya kindondokela. 1 shot on target mechi nzima afu mnashinda.
Hongereni mmebahatisha!
hahahaha baada ya ushindi basi utakuwa unapeperusha bendera ya LVG.mpira magoli SIO SHOTS ON TARGET....
Msimu wa mwaka jana, katika mechi ya 22, United walikuwa wanne wakiwa na points 40, GD ya 15 na points 12 nyuma ya Rent Boys.EPL Table: Updated Premier League Standings, Fixtures and Title Odds After WeekHivi misimu mitatu iliyopita baada ya michezo 22 mlikuwa na point ngapi?? Maana mashindwa kuwaelewa mnaposema huu msimu mko vibaya!