barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Inabidi mkubali tu kiwa zama zimepita!
Moyes mlisema hayo hayo na akija mwingine mtasema hayo hayo. Bila usajili makini na kuzubaishwa na majina makubwa huku Kiwango ni kimeo hata apewe Mourhnio au Pep Gardiola bado kufungwa Kipo palepale
Inabidi mkubali tu kiwa zama zimepita!
Zama bado. Ni kama kitabu tu, hii aya ya sasa sio nzuri. Aya inayofuata itakuwa bora;chini ya Mou?
EPL imeboreka zaidi, pesa haininui kikombe! Ni cohesiveness!
Kama wataendelea kumwaga pesa kununua vikombe, zama hizo hazipo! Barca wenyewe hawafanyi half a overhaul. Ni unaongeza tu wachezaji wawili au watatu ktk msingi, msingi wa united umebomolewa tayari.
Not with van gaalWith Man U you'r always happy
Kwa raha zangu kwa huzuni tu tunapoteza nafasi hata sikujishughulisha kuangalia mechi..... #LVGOUT