ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Huyu jamaa Sub zake mbona anakuwa chokoooooo hivi
I once said this is the beginning of the end...but kuna watu humu walinizodoa sana sana!
This is the law of nature...yaani ukishafanikiwa sana kuna muda utakaa ukiwa stagnant and then you can start to retard and therefore creating a negative gradient. Kimbembe huwa kipo kutoka kwenye kuibadilisha hiyo negative gradient iwe positive gradient tena...it takes time and energy!
Usajili bomu ndiyo tatizo lao
Usajili bomu ndiyo tatizo lao
Mkuu usajili kuwa bomu siyo sababu pekee...nyingine ni team spirit! Unakumbuka enzi za Ferguson sometimes team ilikuwa inakuwa mbaya mno but wanabeba kombe.
Hii team kwa Ferguson hata Champions league angebeba! Kosa lingine litakalofanyika itakuwa wakishamfukuza LvG...akija mwingine team inabidi ianze tena mwanzo, kwa hiyo mpaka akija kugain speed anayoitaka ni 2nd season tayari.
Ushindi haukwepeki muda mrefu nilishauri na kusema Rooney awekwe bench awe supersub sasa yametimia.
Moyes mlisema hayo hayo na akija mwingine mtasema hayo hayo. Bila usajili makini na kuzubaishwa na majina makubwa huku Kiwango ni kimeo hata apewe Mourhnio au Pep Gardiola bado kufungwa Kipo palepale
Kingleza noma yaani hapo jamaa kakuvuruga kabisa