Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Ngoja nifanye utaratibu huo maana hali mbaya
Teeehe teeehe karibuni kwenye 10 bora
Ngoja nifanye utaratibu huo maana hali mbaya
Teeehe teeehe karibuni kwenye 10 bora
Kaka yangu Asante sana tumeshapoa Ngoja malengo yatimie......Dada yangu kwema hapa?Ndiyo soka usife moyo pigana ili mwakani angalau mcheze YUROPA Ligi!Edwin Hazard atafunga kwa mara ya kwanza mkicheza kesho
Mnaweza poteza kwa Chelsea lkn ndiyo soka!
Wacha1 fanya mpango mrudishe yale maturubai mliyoazimwa jana usiku kutoka huku Man utd maana kuna simba wa blue anazuru mitaa hii kesho. Wawe tayari wameshayapigilia tayari kwa kulia.
Malafyale fanya mpango wa kukodi waliaji maarufu maana kesho hapa patahitaji msaada mkubwa.
Cc: Rutashubanyuma
Kaka yangu Asante sana tumeshapoa Ngoja malengo yatimie......
Wewe Mcharo wangu kesho nakupa bureeee japo itakuwa ni aibu sana ila sina budi kupitia kikombe hiki cha uchungu ili malengo ya baba #LVGOUT yatimizwe, mwana wa Sir Alex Ferguson hana budi kuchinjwa ili kwa utukufu mkubwa adhihirishwe akiisha kupitia yote. Baada ya kitambo kidogo tu atarejea......... #LVGOUT
Umetushusha sana sema top four basi sema hilo cheko hapana
Teeeeehe teeeehe huoni top four mnavyoikimbia kwa kasi mkipigwa na Chelsea mtakua kwenye second 10 teeeehe
Wacha1 fanya mpango mrudishe yale maturubai mliyoazimwa jana usiku kutoka huku Man utd maana kuna simba wa blue anazuru mitaa hii kesho. Wawe tayari wameshayapigilia tayari kwa kulia.
Watu wengine kwa kujitutumua tu!! Yaani upo points 2 above relegation zone, halafu unajitutumua humu?😳😳
Mkuu hata maiti huendelea kuwa na joto japo kwa masaa kadhaa. Hivyo usishangae hilo ni kawaida ya mfu.
Ha ha ha...yaani kesho ikiwa hivi: Man United kashinda, Norwich City kashinda, Newcastle United kashinda na Swansea City kashinda, hao Rent boys watakuwa nafasi ya 18, yaani watakuwa kwenye relegation zone.
Sasa huyu kweli ni wa kuleta maneno mingi humu ndani kweli? Yeye aende kwenye threads za Newcastle, Sunderland na Aston Villa huko, ndizo saizi zake.
Man UTD fans listen to reaction from this kid:
![]()
We Got Taught A Lesson! | Manchester United :
Source: FullTimeDEVILS youtube