Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Juzi au jana nilisema siamini kuna watu wanatetea uozo huu....Na walijitokeza kutetea uozo huu na leo watajitokeza tena kutetea uozo huu!!! LVG IS USELESS, HE HAS NO CLUE!!!!! Kaishiwa mbinu hana jipya GBP 250M ndio matunda yake haya.....afadhali ya D.MOYES kwa kweli.....

Nilikuwa naangalia mpira bar nimerudi home kulala huyu mpuuzi anaendelea kuniharibia festive season yangu.......
 
100% Nakubaliana na wewe.
 
...usijali, naamini kwa chelsea mnaweza pata angalau draw..
 
Nakumbuka sana enzi sa Sir Alex alikuwa ana uchungu na timu hadi anatetemeka kwa hasira......lakini huyu mwenye kiti naona kakalia Big G Za Sir Alex hata hasimami akisha kaa
 
Hata wakibadilisha kocha siyo jibu kwenye hili tatizo la wachezaji wengi kushuka viwango ghafla.
 
I once said this is the beginning of the end...but kuna watu humu walinizodoa sana sana!

This is the law of nature...yaani ukishafanikiwa sana kuna muda utakaa ukiwa stagnant and then you can start to retard and therefore creating a negative gradient. Kimbembe huwa kipo kutoka kwenye kuibadilisha hiyo negative gradient iwe positive gradient tena...it takes time and energy!
 
Back
Top Bottom