Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaha najua kabisa siyo kweli si mlikua mnataka baba kai aanzie bench na ikawa kweli #LVGOurCoachForever

Sikutanii mtani yaani nilienda mahali nikaimalizia boxing day yangu vizuri Kula raha kweli kweli sikujishughulisha hata na live score ndo nimekuja kukumbuka saa 12, hapa ndo narudi zangu home nikalale kwa raha zangu ila nasikitika tu kushuka ............ #LVGOUT
 
Hongera kwa furaha za nyumbani ..........Umekosa soka safi kabisa kwa vijana wako hasa kichwa cha deepay alichopiga kama van magoli kwenye world cup (flying head)
 
Yale mturubah ya kuhani msiba msiyatoe endeleen kuyaweka maana timu zinazofuata mhhh
 
Man UTD fans listen to reaction from this kid:

mqdefault.jpg

We Got Taught A Lesson! | Manchester United : https://www.youtube.com/watch?v=ywsktRooBFc
Source: FullTimeDEVILS youtube
 
Nimekuja kumpa Pole Dada yangu everlenk Na Best wangu DonDonald Na Belo😊 enjoy Wine and Pie
 
Akuje wapi wakati yeye mwenyewe kwake kuna msiba mzito mpka sasa dakika ya 72 keshachezea vitatu kavu......saint siyo kabisa!!!!
Dada yangu kwema hapa?Ndiyo soka usife moyo pigana ili mwakani angalau mcheze YUROPA Ligi!Edwin Hazard atafunga kwa mara ya kwanza mkicheza kesho

Mnaweza poteza kwa Chelsea lkn ndiyo soka!
 
RRONDO cute b Nzi KWEMA HAPA?Msife moyo ndio soka,cha maana ni ushirikiano ktk dressing room likely 2024 mnaweza rudi mkawa OK,mpo kwenye miaka 7 ya mpito mtardi tu
 
Last edited by a moderator:
Akuje wapi wakati yeye mwenyewe kwake kuna msiba mzito mpka sasa dakika ya 72 keshachezea vitatu kavu......saint siyo kabisa!!!!

Nilishangaa pia kutomwona na kicheko chake kumbe wamechezea 4-0, mayooooo!!! Hii ligi si ya kuchekana tehe tehe!!!!
 
Back
Top Bottom