Last edited by a moderator:
Ewaaaaaaaaaaaaaa nafuuu hapo ndio ninapokupenda sasa fasta tubadilishe gia angani twende kule JF FOOTBALL FANS fastaaaaa
Nakusemea kwa meji unaenda na PNC. .....lolSawaaaaaaaa dakika 0
Ewaaaaaaaaaaaaaa nafuuu hapo ndio ninapokupenda sasa fasta tubadilishe gia angani twende kule JF FOOTBALL FANS fastaaaaa
ushasema unakuja alafu unasema ndio wapi Hii ndio tabu ya kuongozwa na LVGNakusemea kwa meji unaenda na PNC. .....lol
Mfyuuuuuuuu nami nakuja huko huko............halafu ndo wapi huko?
van gal aondoke tu coz kila tim aliyoichukia na baadae kuiacha ni lazima aache imepalanganyika....huyu mzee hatufai tunahitaji matokeo hiyo phylosophy apeleke huko nyumban kwake
Hivi kuna watu bado mnatetea huu uozo? huyu ni mzigo,he has failed............LVG IS USELESS #LVGOUT
ushasema unakuja alafu unasema ndio wapi Hii ndio tabu ya kuongozwa na LVG
Nimekumbuka mmenikimbia mazingira ya kutatanisha ....
Naomba iwe hivyo. Ushindi muhimu sana leoUshindi haukwepeki muda mrefu nilishauri na kusema Rooney awekwe bench awe supersub sasa yametimia.
mech inaanza sangap
Naomba iwe hivyo. Ushindi muhimu sana leo