Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ENZO ukiishiwa bundle niambie nikupe.... Hawa Mwanitesa mpk wakukimbie........

hawa futuhi fc. wanajijua wana timu mbovuu!' halafu wanabwabwaja hovyo ...............
 
Last edited by a moderator:

Wambie futuhi kesho saa 5 usiku waje pale Kwao Leicester city ktk uwanja wa King Power waone tunavyomchinja Leicester.......
 
Hahahahaaaa Mkuu we acha tu..... Huyo jamaa yeye na Chelsea tuuuu hana timu ingine ya kuikosoa au kuishambulia Zaidi ya Chelsea tu...... Sasa nikaona aje huku alete uchambuzi wake huku.......
Huelewi au huoni tofauti kati ya majukwaa mengine na lile la Ze bluuziii. Kwanza niseme makocha wa Timu hizi wana nidhamu na wanaheshimu makocha wengine. Hawana udomo-kaya wa aina ya Moureen. Na wapenzi msimu wa Ze Yokohama pia wanaposhinda mechi au kikombe wanageuza midomo yao kuwa ile midomo ya kwenda kwa choo, wanachonga mneno kama Nyerere, kiswahili mreefuuu. Hiyo ndio sababu nimehamia kule lakini napita na kusoma majukwaa yote.

Kwa "Vangirl" nilisoma sehemu, gazetini kuna mchambuzi alisema Van gaal hatoshinda kikombe chochote kwa muda atakaokuwa na Mashetani wekundu. Dalili zinaonesha hivyo. Ingawa ameimarisha kikosi ukilinganisha na Moyes lakini bado hakijatulia.
 
Webb katumbua jipu
 
Attachments

  • 1450083234868.jpg
    1450083234868.jpg
    35.2 KB · Views: 179
Howard Webb is widely recognised as one of the best referees the Premier League has produced, refereeing in the 2010 Champions League final as well as the- 2010-World Cup final.

However, there has always been a running joke that Webb had a soft spot for-Manchester United, with fans claiming the former policeman would officiate in favour of the Red Devils. And now Webb himself is getting in on the joke.

Speaking to BT Sport, Webb joked that United have not been the same team since he retired in 2014.
 
Leo timu yako inakutana na the Blauz,nipe maneno Blauz itavalika au itakuvaa.....
 
Webb katumbua jipu

Howard Webb is widely recognised as one of the best referees the Premier League has produced, refereeing in the 2010 Champions League final as well as the- 2010-World Cup final.

However, there has always been a running joke that Webb had a soft spot for-Manchester United, with fans claiming the former policeman would officiate in favour of the Red Devils. And now Webb himself is getting in on the joke.

Speaking to BT Sport, Webb joked that United have not been the same team since he retired in 2014.

Katumbua jipu wapi wakati ushaambiwa ni jokes!!!
 
Bora tumetolewa UCL tungekutana na Barcelona mambo yangekuwa si mambo.Ndugu yangu Wacha1 namtakia kila la heri .
 
Last edited by a moderator:
fiorentina vs spurs
dortmund vs porto

kumbe kuna timu ngumu hata huku! hii man utd ya LVG siujui kama itavuka last 32?!
 
fernebache vs loko moscow
mityland vs man utd
hawa hata siwajui kwa kweli!
 
fernebache vs loko moscow
mityland vs man utd
hawa hata siwajui kwa kweli!

mkuu sio wa kubeza aisee, ndio waliomtoa soton kwenye round ya kwanza ya Europa wakaja wakampiga tena brugge 3-1.
 
Back
Top Bottom