Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Timu zangu nimezitaja, hii uliyonichagulia siitambui...uliza "shembby" ako atakupa orodha ya timu zangu.
Nilimuomba anifungulie majukwaa ya timu hizo lakini yuko bizee.
Everlenk ukuje hapa.
Hahahahaaaa bora umekuja huku Nonda maana umezidi kila siku uko ktk thread yetu njoo na huku kwa Man U uwasalimu kidogo......
Last edited by a moderator: