everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
On loan leicester.....nawacheki tuu mnavyolia lia...
Shemeji huku England ni majanga hakuna timu ambayo itakupa furaha muda wote bila machozi.....
On loan leicester.....nawacheki tuu mnavyolia lia...
Sijui kwanini pep naye simkubali kivileeeee sijui coz part Ingine mimi ni Barca kuna ambayo niliyaona kwake siyo ,ila anyway sijui labda pengine anaweza kutufaa.....
Shemeji huku England ni majanga hakuna timu ambayo itakupa furaha muda wote bila machozi.....
Pep, is the best you can get itamchukuwa muda na yeye kusettle down na ku-implement his way of play kwa mpira wenu wa counter attack chizi Diego atawafaa sana
Ni mwendo wa kuhama tuu...itakayo zinguwa. Ha haa...
Usiniambie ndivyo na dada yangu unavyomfanyia ???? Mimi nimechagua ninao permanent 3 ila nchi tofauti tofauti hawa nipo nao katika shida na raha Spain nina Barca, Italy nina Juve ......sichanganyi wapenzi katika boma moja...hhahahaahah
Hahahahahh polee sana.
Mimi kwa afya ni mzima ilaa duuuuuuuhhh
asante sana. majeruhi tu ndo wnatusumbua la sivyo
Hahaha mfalme mwerevu bana sikufikii wewe kwa kujifariji.......Ila ukweli ni mpito tu next tutakuwa Sawa.
teh teh kwanini sasa?Aseee haka kakiteteo siyo kazuri kabisa
teh teh kwanini sasa?
ila kwetu wamezidi we hata jana umeona kikosi kileKila timu ina majeruhi mkuu
Usiniambie ndivyo na dada yangu unavyomfanyia ???? Mimi nimechagua ninao permanent 3 ila nchi tofauti tofauti hawa nipo nao katika shida na raha Spain nina Barca, Italy nina Juve ......sichanganyi wapenzi katika boma moja...hhahahaahah
Naijua sababu yako ya kuipenda Juve siisemi tu hazarani.....
Siku hizi huipendi Chelsea?
Hahahhahahha unalooooooo wivu utakuua shembaby.....