Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mkichomoa inatoka na mavi.

Kwi kwi kwi kwi kwi nilikua natafuta saini yako humu ili nicheke.....

Duh ENZO we kiboko.....

Wapi Nonda alete full uchambuzi wa kufungwa wazee wa Futuhi?
 
Last edited by a moderator:
Mhhh Chelsea ipi ya kumfunga Leicester huyu?

"Amini amini nakuambia itakua rahisi kwa JWTZ kuipiga USA vitani hadi Obama aka surrender kuliko kwa Chelsea kuifunga Leicester ugenini"

Kwenda kule wewe..... Leicester City nakwenda kuwapiga vibaya..... Utakua wapi nije niangalie mpira na wewe?
 
Kwenda kule wewe..... Leicester City nakwenda kuwapiga vibaya..... Utakua wapi nije niangalie mpira na wewe?

Mm nipo kwangu Ikwiriri!
Njoo na everlenk niwafungie samaki uduvi mrudi Dar muwafanye kitoweo

Unapoingia katikati ya Jiji la Leicester unakumbana na bango kubwa sana juu ya highway yao linasomeka:
"Jamie Vardy score whenever he want"
 
Last edited by a moderator:
Yaani leo huzuni kila mahali acha tu !!! magoli yamerudi dakika za mwisho,Barca wajilaumu sana kwa hili Atheletico haoooo.....huku nako Tottenham haooooo tuwaombee Njaa kesho Arsenal, Leicester na Totenham.....lol

Kesho nategemea mabruda mtanipa raha nisahau machungu yangu....

Kooooooh koooooh koooh
 
Dada Evelenk philosophy bado haijakaa vizuri ila next week philosophy itafanya vizuri tena kama jana
 
Last edited by a moderator:
LVG philosophy
 

Attachments

  • 1449979258645.jpg
    1449979258645.jpg
    29.8 KB · Views: 198
Chicharito. 👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾
 

Attachments

  • 1449981447948.jpg
    1449981447948.jpg
    20 KB · Views: 206
Back
Top Bottom