Defence yetu ya Leo sio UA uhakika badala ya kumuanzisha Morgan akasaidie kuharibu mipango anamuweka fellain?
Mzuka wa kuangalia mechi umeshakata aisee dah
defence leo kazi ipo. fellaini chenga sometimes. pale kati angekuwepo morgan ingekuwa poa
mzuka umekata kabisa aisee
Naniiiiiii kafunga vileee?