everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Thx Mkuu Gwamahala
everlenk pole sn my dear....... Haya ni mapito tu
Wengine tumeshazoea na tulikua tunasubiri taarifa ya bodi ya timu kuhusu mustakabali wa kocha wetu kipenzi José Mourinho...
Ligi ni ngumu na vita vya msimu huu si mchezo....
Ila nafikiri kiasi Fulani Mashabiki wa Man Utd midomo itapungua maana mlishajifanya nyie ndio mabingwa.
Cc RRONDO
Yaani hamuwezi amini nililifahamu hilo toka mwanzo ila nikasema Ngoja niombe kama kawaida yangu tu, cha ajabu nina Amani kupita kiasi matokeo niliyakubali kwa mikono miwili kabisaaa na sijaumia kabisa, hapa focus kwa Everton hawa sitaki kabisa historia ijirudie yaani hawa wananiumiza kichwa ila tutashinda........ Wazima Ntuzu na Gwamahala ??
Last edited by a moderator: