Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu hujaelewa vizuri post yake nahisi furaha imekuzidi sana hadi unashindwa kusoma post kwa ufasaha maana arsenal kuifunga man ni zaidi ya ubingwa. BTW hongereni sana.

Hahaha kweli furaha ilikoroga ubongo nikamisunderstand alichoandika, anyway huu ushindi Unaweza kuwa springboard ya success msimu huu.
cc Nzi
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
una maumivu mkuu!' kunywa panadol yatapoa, pole kwa tatu bomba.

kuwa original na tatu bomba.

Nzi
 
Last edited by a moderator:
Heshima sana wanazi wa Manchester United.

Mechi ya jana yapo mambo matatu niliyoyaona ambayo kama LVG atapenda kuyafanyia kazi hakika nafasi ya kwanza au ya pili inatuhusu.

Mosi, Viungo Michael Carrick 34 na Bastian Schweinsteger 31 ni wachezaji wakubwa kwa umri si busara kuwapanga wote katika mechi moja.Kama ulitazama game vizuri bila kengeza la ushabiki Carrick na Bastian walizidiwa na wachezaji vijana Francis Coquelin,Alexis Sanchez na Santi Cazorla ambao walikuwa wameshika kiungo haswa huku viungo wa Manchester United wakipeleka pass taratibu sana ungedhani hawana haja ya ushindi.

Pili,Ni wakati muafaka sasa LVG akamweka bench Rooney na Depay.Kwa kweli Rooney kiwango chake kimezidi kushuka siku hadi siku mara nyingi awapo uwanjani timu inakuwa inacheza kama na wachezaji kumi uwanjani.hana mbio,hana uwezo wa kumiliki mipira,hana msaada timu inaposhambuliwa hana uwezo wa kufunga mabao kama zamani.

Tatu,Ni muda muafaka sasa LVG akamchezesha Ander Herrera nafasi ya Rooney anaweza kuisaidia timu zaidi ukimlinganisha na Rooney anayevuta mshahara mkubwa lakini hana mchango wa maana kama Anthony Martial ambaye alikuwa mchezaji pekee alionysha kiwango cha juu katika mchezo na Arsenal.

Ashley young kucheza kama beki wakati unajua arsenal kuna wachezaji wa mbio kama Theo na Sanchez hilo ni tatzo, depay kuanza kila mechi licha ya performance kuwa mbaya inampa jeuri na kiburi kutokujituma anapoteza mipira kirahisi sana, hebu anagalia fellaini alipoingia tulivokuwa tumewakamata japo ilikua too late arsenal walishamaliza mchezo dakika 20 za mwanzo, martial anafanya kazi kubwa sana kuliko umri wake kutokana na uzembe wa rooney,
 
acha kutudanganya wewe!' mliwakamata wakina nani?!! mchezo ulibadilika sababu Arse888 walisharidhika na matokeo yale kazi yao ikawa kuwazuia ndio mana mkaona kama mmecheza! ila nyie hamna kitu, huyo Schweinsteiger bora mumpeleke kwa mkopo akacheze muvi na schwarzenegger ..............
 
Ahsante umeeleweka
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
yote yanafanyiwa kazi, hili ni timu kubwa the only one united, tutapambana mpaka kieleweke.
 
Ashley young kucheza kama beki wakati unajua arsenal kuna wachezaji wa mbio kama Theo na Sanchez hilo ni tatzo, depay kuanza kila mechi licha ya performance kuwa mbaya inampa jeuri na kiburi kutokujituma anapoteza mipira kirahisi sana, hebu anagalia fellaini alipoingia tulivokuwa tumewakamata japo ilikua too late arsenal walishamaliza mchezo dakika 20 za mwanzo, martial anafanya kazi kubwa sana kuliko umri wake kutokana na uzembe wa rooney,

Huwa nasema hapa Bastian anapaswa kuanza game za UEFA na sio za EPL kwa age + ugeni wake lazima atapata taabu.Tuna Morgan kijana na amezoea EPL huwa ndio anapaswa kuanza game za EPL hata game za mwanzo alikuwa anaanza na alisaidia sana defence

Game ya juzi upande wa kushoto ndio ulikuwa weak-link kwenye defence,Young alikuwa anapanda na sio mzuri defensively kibaya zaidi Depay alipaswa kurudi kumsaidia(Arsenal wangetumia zile chance wangefunga magoli 5 first half )

Kwa sasa Depay na Rooney wanastahili kuanzia benchi Perreira na Wilson wanapaswa kupewa nafasi zaidi
 
Mi mwanzoni nilishajua Morgan kishajihakikishia namba kwenye first IX kumbe bado tupo kwenye trial,
Alafu kuna tetesi nimezisikia eti rojo kaambiwa atafute timu mapema mwenzi wa kwanza maana kishazinguana na mkuu wa kaya.
 
Mimi huwa namkumbuka sana SAF kujua kupanga wachezaji kutokana na mechi,SAF aliishindwa tu ile Barca ya Pep.Tangu ligi imeanza Depay,Bastian,Rooney hawachezi vizuri kwenye EPL only Morgan,Darmian na Martial wameadapt ligi vizuri.Rojo huenda akauzwa otherwise akipata nafasi inabidi aonyeshe kiwango sana
 
Mi mwanzoni nilishajua Morgan kishajihakikishia namba kwenye first IX kumbe bado tupo kwenye trial,
Alafu kuna tetesi nimezisikia eti rojo kaambiwa atafute timu mapema mwenzi wa kwanza maana kishazinguana na mkuu wa kaya.

rojo alizinguana na LVG baada ya kukosa pre-season.
 
Muller na Lewandoski kuhamia Man Utd ni ndoto za saa saba mchana baada ya kushiba ugali na nguru. Hahahaha eti kipigo hakijakuuma...

Doh! Arifu, furaha ushindi wa ngama ndiyo imekuziba kuona namna hiyo? Wapi nimesema hao watahamia United?

Umesahau kuwa una dhahama ya kukutana nao kwenye UCL? Hicho ndicho nilichokimaanisha. Watawatungua kiasi cha kampeni ya #WengerOut kurudi...
 
Heshima sana wanazi wa Manchester United.

Mechi ya jana yapo mambo matatu niliyoyaona ambayo kama LVG atapenda kuyafanyia kazi hakika nafasi ya kwanza au ya pili inatuhusu.

Mosi, Viungo Michael Carrick 34 na Bastian Schweinsteger 31 ni wachezaji wakubwa kwa umri si busara kuwapanga wote katika mechi moja.Kama ulitazama game vizuri bila kengeza la ushabiki Carrick na Bastian walizidiwa na wachezaji vijana Francis Coquelin,Alexis Sanchez na Santi Cazorla ambao walikuwa wameshika kiungo haswa huku viungo wa Manchester United wakipeleka pass taratibu sana ungedhani hawana haja ya ushindi.

Pili,Ni wakati muafaka sasa LVG akamweka bench Rooney na Depay.Kwa kweli Rooney kiwango chake kimezidi kushuka siku hadi siku mara nyingi awapo uwanjani timu inakuwa inacheza kama na wachezaji kumi uwanjani.hana mbio,hana uwezo wa kumiliki mipira,hana msaada timu inaposhambuliwa hana uwezo wa kufunga mabao kama zamani.

Tatu,Ni muda muafaka sasa LVG akamchezesha Ander Herrera nafasi ya Rooney anaweza kuisaidia timu zaidi ukimlinganisha na Rooney anayevuta mshahara mkubwa lakini hana mchango wa maana kama Anthony Martial ambaye alikuwa mchezaji pekee alionysha kiwango cha juu katika mchezo na Arsenal.

Ungesema haya maneno kabla ya mechi ningekusikiliza khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mtalia sana mwaka huu, ule mpira wa Brown envelopes kwisha kazi yake khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mlikuwa mnaimba hapa wiki moja iliyopita .. .. khe ke khe kheeeeeeeeeeee maumivu yakizidi mwone daktari wa JF.
 
anyway huu ushindi Unaweza kuwa springboard ya success msimu huu.
cc Nzi

Nami nikupongeze kwa kuwa na moyo wa matumaini wa kiwango kisichopimika! Yaani mashabiki wa Gooners ni kama waTZ wanaoishabikia CCM...timu inawajaza matumaini, halafu inawatia maumivu balaa...kisha mzunguko unaendelea.

Lakini kwa kuwa huu ni mwaka wa mabadiliko, pengine kuna mabadiliko! Ngoja tuone.
 
Last edited by a moderator:
Ni ujinga kulalamika kuhusu tatizo la Rooney na DePay na bado mechi zijazo unawakuta uwanjani.
 
Ahhh!! Shem kuna ndiyo na Hapana kwa Sir God......Ila nahisi atakuwa alikasirika maana wakati naomba nilikuwa nimeshika ile mbundimbundi ,bado nipo Kwenu Shem wangu.
Nakuja Jumanne tar 13. Kama bado utakuwa ntakutafuta Kitumsa hapo shem
 
12096259_1602728766434000_2111693683052806838_n.png

Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom