![]()
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Duuuh hicho kicheko kina umizaaaa
![]()
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hahaaaaaaa....nimecheka asee!!!![]()
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ni ujinga kulalamika kuhusu tatizo la Rooney na DePay na bado mechi zijazo unawakuta uwanjani.
Nami nikupongeze kwa kuwa na moyo wa matumaini wa kiwango kisichopimika! Yaani mashabiki wa Gooners ni kama waTZ wanaoishabikia CCM...timu inawajaza matumaini, halafu inawatia maumivu balaa...kisha mzunguko unaendelea.
Lakini kwa kuwa huu ni mwaka wa mabadiliko, pengine kuna mabadiliko! Ngoja tuone.
Wacha fujo weweeeeeee!!!!! Prof.Wenger mwenyewe nakuona ulivyofurahiiiii ......Ungesema haya maneno kabla ya mechi ningekusikiliza khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mtalia sana mwaka huu, ule mpira wa Brown envelopes kwisha kazi yake khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mlikuwa mnaimba hapa wiki moja iliyopita .. .. khe ke khe kheeeeeeeeeeee maumivu yakizidi mwone daktari wa JF.
![]()
Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mentor et al. Kiukweli hiki kipigo hakijaniumiza....hadi nashangaa kwanini sijaumia...lakini sababu ni moja tu...nikilinganisha na msimu chini ya DM na msimu uliopita, naona mwanga mbele...timu ipo vizuri zaidi ya misimu miwili iliyopita...leo ilikuwa ajali kazini...
Angalau Gooners wasitishe kwa muda kampeni yao ya #WengerOut najua baada ya international break....Müller na Lewandoski lazima airudishe tena kampeni...
Cc: rubaman kashengo na hata Balantanda ambaye leo kafufuka😳
acha kutudanganya wewe!' mliwakamata wakina nani?!! mchezo ulibadilika sababu Arse888 walisharidhika na matokeo yale kazi yao ikawa kuwazuia ndio mana mkaona kama mmecheza! ila nyie hamna kitu, huyo Schweinsteiger bora mumpeleke kwa mkopo akacheze muvi na schwarzenegger ..............
Anthony martial amekuwa ndio PFA player of the month,
Linker, Sir Boby and Rooney
Anthony martial amekuwa ndio PFA player of the month,
Halafu mnatuambia epl ligi ngumu!! Dogo kaja juzi tu na kasumbua Teh! Teh!
Ayew alishanaliza?
ukiangalia mchezaji mmoja au wawili huwezi pata uhalisia wa EPL, Martial ni mrefu na ana nguvu ni rahisi kushine epl. kama uliangalia mechi ya Arsenal mara kama mbili hivi Mertesacker alitolewa njiani push kidogo anaanguka. Dogo anaweza akakusanya watu watatu na akashindana nao nguvu na kuhold mpira.
ukitaka kuijua Epl waulize hawa
-Falcao
-Di maria
-Soldado
-Negredo
-Lamela
-paulinho
-Salah
-Gervinho
proNDO yani umeweka mapenzi kiasi umesahau kua kikosi chako kibovu na unakocha mbovu daah unazii huu sasa depay nae ni mkali!!? Roney yule yuko kwenye form!!? Aaaanh ukua unamaanisha herrera!! Any way ngoja tuone mana nabaki nacheka kua man wanakikosi kizuri.Nishasema hapa...LVG ataharibu tu hii timu,nashukuru sana ataondoka 2017!!!! Kocha gani huyu hajui kupanga timu kulingana na mechi??!! Timu huwa inashinda kwa juhudi za wachezaji tu wala sio kuwa ana mbinu kivile!! Hii timu angekuwa nayo SAF ingechukua ubingwa kilaini tu. Timu ina wachezaji wazuri kuliko ilivyokuwa timu ya Moyes lakini unafungwa na Arsenal kama timu ya eastern europe!!!
faida za lvgNishasema hapa...LVG ataharibu tu hii timu,nashukuru sana ataondoka 2017!!!! Kocha gani huyu hajui kupanga timu kulingana na mechi??!! Timu huwa inashinda kwa juhudi za wachezaji tu wala sio kuwa ana mbinu kivile!! Hii timu angekuwa nayo SAF ingechukua ubingwa kilaini tu. Timu ina wachezaji wazuri kuliko ilivyokuwa timu ya Moyes lakini unafungwa na Arsenal kama timu ya eastern europe!!!