Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
umenena ila yupo yule wilson
Nikimaanisha tuwe na World Class strikers.
Wilson sio wa kumtegemea sana ila ana potential huko mbeleni.

Leo hadi liverpool kashinda! Hongereni kwa kumpiga bottom of the league.
Dogo Martial nimempenda bure.
I can see anguko la Depay kama Januzaj.
Mata...I still miss him sometimes!!!
Tukipata WCS tutatisha sana Mbona tuvikombe tuwili tutatu hatuwezi kosa........pata picha Lewandowasky angekubali tungekuwajeeeee!!!!...lol
Ushindi na timu mbovu ndiyo mnashangilia hiv
Unasahau bingwa Wa EPL lazima apige timu mbovu na hizo nzuri
Nakumbuka mlivyomuuza tulibishana sana hapa,Mata anajua mpira Jose alikuwa anamlazimisha akabe wakati sio kazi yake
USIJALI MSAGA SUMU MWENZANGU...
HONGERA KWA USHINDI
Mkuu tatizo hao WC striker siku hizi wako wachache sana (Aguero,Benzema,Suarez,Lewandoski) wakati wa usajili Man United walipeleka offer paundi mil 65 kwa Muller but Bayern wakagoma.Cha msingi ni viungo kusaidia kufunga magoli (Mata,Depay,Hererra) hawa ni viungo wazuri sana kufunga kila mmoja akifunga at least magoli 12 tutakuwa mbali
Hali tete sana upande wetu yaani
Ndio umeamua kuja kulilia kwa jirani?
Ndio kuna ubaya?