mata is anything which occupy space. also mata is a player who scores goal with left leg
Asante sana Mungu kwa kusikia maombi yangu na sasa tupo juu ya wote na kwa uwezo wako tutaendelea kubaki juu,Ameeen. .........#GGMU
Veerrrrry goooood !!!!! Kunywa kapepsi kwa bill yako......
Hodini lads naomba nikaribishwe jukwaaani mm ni mshabiki wa man u kitambo tokea ile ya kina garry pallister, denis irwin,eric cantona etc
kweli maombi yanafanya kazi
muombee na huyu chelshit leo apigwe 5
Tatu kavuuuuuuu tuko pale Kileleni kabisa na point zetu 16
Umekuwa mtaaaam kama mcharoooooo!!!!! Mwaaaaaa
Hodini lads naomba nikaribishwe jukwaaani mm ni mshabiki wa man u kitambo tokea ile ya kina garry pallister, denis irwin,eric cantona etc
Woyooooooooooooooo........my baby depay thank yuu so much......duuuuuuuuuuuuh hurereeeeeeeeeeeeeeee.
Wakuu nipo sema mjue nini...leo jumamosi afu dizain kama mrs depay ni flower kwenye hiyo harusi ila pamoja sana..
Ushindi na timu mbovu ndiyo mnashangilia hivi?
Hahaaa ushamsahau martial sasa
Man U msifurahie maana Chelsea na City watawapiga tu