HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,934
- 102,690
Utasubiriiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaa haitotokea........
Nitakukumbusha tarehe 25/10 baada ya kumpigia Lowasa na wabunge wa ukawa
Utasubiriiiiiiiiii sanaaaaaaaaaaaaa haitotokea........
Nitakukumbusha tarehe 25/10 baada ya kumpigia Lowasa na wabunge wa ukawa
Hahahhahaha pamoja na uchovu wote ulionao umemfunikaaaa......
Kabla hujanikumbusha mimi tayari nitakuwa nishajaa kwako teleeee nikicheza kigodorooooo.....
Hebu kwanza niombeee ushindi maana hawa Newcastle leo wanataka haribu siku, kule Simba kapigwa na sisi twasua sua
Kumbe wewe ni Simba kama mimi aiseee !!! Kila la heri hapa namsubiri Juve tu......ila nilikuombea heri toka mwanzo.