Ila mi nakuwa na mawazo ya tofauti kidogo nadhan tuache mechi nyingine young awe anatokea bench maana naamini mtu anayetokea sub anatakiwa alete kitu cha ziada uwanjani ambavyo ndivyo anavyofanya young kwa sasa
Sidhan kama itakuwa vizuri endapo unafanya sub ya kumtoa young then umuinguze depay tutakuwa tumeharibu zaidi
Ni kama inavyofanyika kwa Carrick na bast
Morinho hajafukuzwa tu?