mata is anything which occupy space. also mata is a player who scores goal with left leg
Asante sanaa guuuuuuuuuuderrrr
hahahaha una mambo
Mumyyyyy ntakumisssssssssssss mummy siku hizi sisi ni watu wa 3 kavuuuuu!!!!!! Hahahahhaha
Unasemaje hapo???
Leo zamu ya The Name kudefine......lol
Ukirudi usisahau kunifichia kapaja kakuku kitambo sijala
huyu dogo hatari sana
NI UTAMU WA MANCHESTER UNITED
TATU KAVU DUUUH LAZMA WANA MIMBA...CHEZEA VITATU VYOTE HAHAHAA HALAFU NI COLABO
NI GLORY GLORY GLORY MANCHESTER UNITED
HAHAHAAAA AMESOMA PCM HUYO
Ukirudi usisahau kunifichia kapaja kakuku kitambo sijala
Alikua na gundu baya
Kwa sasa naanza kupata amani na pale mbele sasa.
lazima upate martial ana kipaji
asante kwa kuleta hii chart angalao chelbus wajione walipo
Dirisha likifunguliwa tusajili striker mwingine.