Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
....Reminder;
![]()
...kwaherini.
Najiandaa na Kesho msibani, Darajani!
Kule kwenye Jukwaa lao kunakuwaga hakuna Mtu...hata huyu Masa mnamuona hapa anashangilia Draw ya Arsenal na Kichapo cha MANURE.......
....Reminder;
![]()
...kwaherini.
Najiandaa na Kesho msibani, Darajani!
Yaani kwa ulivyotuzingua kesho sijui ujifichie wapi tu kama mkipigwa.......
Kule kwenye Jukwaa lao kunakuwaga hakuna Mtu...hata huyu Masa mnamuona hapa anashangilia Draw ya Arsenal na Kichapo cha MANURE.......
hahahahah mazee hebu kuwa na amani! kesho najua utakuwa upande wangu!
Adui yako muombee njaa mazee! Matokeo ya kesho yatatupa nafasi tukishinda tu
over my dead body!!!! That will never ever happen!!!!!
haya waungwana leo tumefungwa fairly and squarely...inauma kufungwa lakini jinsi tulivyofungwa inauma zaidi. Weekend ijayo should be very interesting. Hongera zao kwa arsenal kwa kutoa draw.
Typical Fat Arse Anal fan!
Pheww!...dua za Arsenal utazijua tu🙂) kidding
Wikend mbovu kabisa hii..bora nipate wine sasa!! agrrrrrr
Pole sana BJ ,hii ligi simchezo. Mpira mtamu sana yani dakika chache tu mie nilikuwa mgonjwa unanipa pole na sasa hivi mie nimepata nafuu nakupa wewe pole lol.
Pole sana BJ ,hii ligi simchezo. Mpira mtamu sana yani dakika chache tu mie nilikuwa mgonjwa unanipa pole na sasa hivi mie nimepata nafuu nakupa wewe pole lol.
Give us whichever names u want..but the truth will always stand still....I 100% sure that u are also not sure of winning 2mrw!!!!!!!!!! Aren't U???
hehehe wiki ijayo lazima tuzae na citeh alafu tunachezea old trafford...katika mechi zote za ligi kufungwa na citeh au liverpool ni unacceptable. Citeh wiki ijayo watapaki basi golini ili wapate draw kama kawaida yao.Mpe na ya wiki ijayo....koz anacheza na Man City............Watakua unstable kwa kichapo cha leo..
Si ndio hapo yani acha tu AW..naona kicheko kimetugeukia ManU bora nyie mlidroo!!..angalau na wewe utakuwa umepata ahueni mana sasa timu pinzani ikifanya vibaya ni afadhali kwa nyingine!!..ligi presha hii!!
Uwezi kuamini mmefanya weekend yangu ratiba zote ziendelee kama kawaida.Niko poa kabisa hapa.
Writing on wall in red! Usiwe na hasira easy easy kesho shangilia El nino na Drogs........!