Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wolves wameharibu weekend yangu, tulitakiwa sisi mabingwa tuondoe hiyo bikira. Aaaaaaaaaaarrrrrrrrrggghhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!:angry:
 
Hakuna TENA HABARI YA INVISIBLES................................Poleni watani....nilidhani ntaumia na 4-4....Sasa bado mna game mbili na Chelsea...Yaani hili gari la Kichapo ndo LIMEWAKA na Mbele ni mtelemko............HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
<p>
Tumetoa draw 4-4 dhidi ya N'castle...poor refereeing imetucost...Ila hii ya scholes kutaka kufungia mikono ni kali zaidi.....Au ndo Ushindi Lazima????
</p>
<p>&nbsp;</p>
Nyie kwa kulia hamjambo. Mbn husemi kuwa bila refa mngepigwa tano leo, goli la Castle halali limekataliwa?
 
Aya waungwana tunekubali kichapo, kweli soka is an unpredictable game. Naona kesho England watafanya sherehe manure kufungwa. Alamsiki.

mbona mapema bana, aaah....
Poleni, hehehehehehe!
 
Ha ha ha ha ha,kumbe mnashikika bwana.......wanaowashika ni Wolves....lol
nimepita tu kuwajulia hali.......:laugh::laugh::laugh::laugh:
 
Hakuna TENA HABARI YA INVISIBLES................................Poleni watani....nilidhani ntaumia na 4-4....Sasa bado mna game mbili na Chelsea...Yaani hili gari la Kichapo ndo LIMEWAKA na Mbele ni mtelemko............HUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

ha ha ha,...Bundi kahamia Old Trafford leo....
 
MKuu hold on! MBona hujafurahia matokeo ya 4-4! ila ya Man 1 Wolves 2 yanakupa raha?
 
Mazee stop crying like a little girl on her first day ......! Mpira tu huo wala si refarii

Thats how you will be crying tomorrow.....duh,so liltle gals cry like Manchester fans on their first day???mmmh Rev,how did you know?
 
Ndio mpira huo lazima kukubali kushindwa lakini kilichoniudhi sio kufungwa na wolves......Evans hamna kitu kabisa........
 
ha ha ha,...Bundi kahamia Old Trafford leo....

Na bundi huyo hata ondoka mwaka huu......wajibebe,duh,WOLVES wanaume.....nasubiri kesho....kuna mtu hatalala naapa.....:coffee:
 
Inasikitisha kuona timu iliyo mkiani mwa ligi inagaragaza timu inayoongoza ligi, na imeisha shindikana kufungwa na timu kali. Ndivyo yalivyotokea hivi leo WOLVE dhidi MAN U. Matoke ni (Man 1 - 2 Wolve).
 
Kesho nitakuwa kwenye thread ya chelsea nataka kuona watu wakilia...haha
 
....Reminder;

7170261923642l.jpg

...kwaherini.
Najiandaa na Kesho msibani, Darajani!
 
Leo sisi ni siku yetu kesho ni siku ya wengine......zamu kwa zamu......
 
MKuu hold on! MBona hujafurahia matokeo ya 4-4! ila ya Man 1 Wolves 2 yanakupa raha?

Sijui hata nikujibu nini tu Rev.....We mwenyewe upo happy....hawa jamaa walikua wanachonga sana...Ila sababu ni zifuatazo...

1. Tumepunguza gap ya points na GD
2. Hakuna tena kusikia habari ya Invisibles....(Wolves wameshaondoa hii story)
3. Ntakua na Amani Kitaa...koz najua sitaonana na Baadhi ya Mavuvuzela....
4. Its the start of the w'end..........
 
Mkuu mbu hiyo list yako na wasiwasi nayo maana nashindwa kuikubali.....
 
Back
Top Bottom