Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
Mbona siku zingine huwa wapo wanaangalia mechi na bado tunakua tunaona comment humu??? what difference does it make????
sio siku zote ziko sawa..sometimes watu wanataka waenjoy game bila hii hullabaloo ya kujibu posts za kwenye forum.